Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

1719491919799.jpg
 
Bwana muhasibu inabidi aombe radhi na kusema Yanga waoneshe kwenye makabrasha yao
DR: Intangible Asset ... TZS 400mil
CR: Revaluation gain... TZS 400mil (to the maximum of transfer right and cost incurred to acquire transfer right of/to sign Aziz Ki).
 
Mhasibu omba radhi
Jamaa kiburi Mimi nilimsihi Hilo tokea siku za akabisha nikaufufua huu uzi na kuuActivate siku ambayo tuliyowafunga Club African na kuingia makundi shirikisho.

Nikamsihi tena baada ya kumpiga spana , jamaa akawa mbishi akawa anakuja kudhihaki humu eti sisi majobless hatuna mishe za maana Wala wake ,asubuhi baada ya kutulia na wake zetu tunakuja kujazana humu.

Ikiwa tukimtag Mwasibu wetu OKW BOBAN SUNZU aombe radhi anakuja kibabe kutoa dislikes humu.
 
Jitihada hazikuishia hapo tukamtuma Mzee wa busara Tate Mkuu amshauri Mwasibu bado hakusikia mpaka dakika za mwisho tukamtuma Shadeeya amsihi anko wake aombe radhi , lakini bado tu kwa Mwasibu ikiwa sawa na kumpigia mbuzi gitaa.

Lakini si haba mafanikio ni kwamba Mwasibu wa sasa sio kama wa Zamani sasa haandiki nyuzi zake hovyo na akiandika anaandika kwa umakini na tahadhari kubwa sana.
 
Kabisa ndugu yangu kiukweli kama kubadilika tu Mwasibu amejua kubadilika.

Hata zile disslikes kama njugu hatugawii tena. 😅
 
Back
Top Bottom