Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Ila huyu mhasibu [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ,jamaa ni Mwasibu kweli sio masihara.Inawezekana mwasibu kapiga shule ya maana eeh!? Sema tu labda samutaimuzi dishi huwa linayumba kidogo 😁😁😁
Spana juu ya spana mpaka aseme kuwa alilewa tumsamehe.Tunaendelea
Hii risiti imetunzwa mahali salama.Aziz ki upepo ushakata.mjiandae kumtukana tu
Nakusalimia ndugu yangu.Ila huyu mhasibu [emoji23]
Mzee mwenzangu hii ni hatari. Next season itakuwa balaa tupu.
Ewaaaaa.Hii risiti imetunzwa mahali salama.
Mhasibu tapeliNakusalimia ndugu yangu.
Mwasibu wetu kama Mwasibu. Lol.
Arooo..... Mwasibu feki.Nakusalimia ndugu yangu.
Mwasibu wetu kama Mwasibu. Lol.
😀😀😀Arooo..... Mwasibu feki.
Na leo anaendelea kuwadhihirishia.Hii risiti imetunzwa mahali salama.