Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Mimi mwigulu atupishe tu. Hana faida wala faida yoyote kwa nchi hii..

Januari dollar ilikuwa 2300 leo hii 2700. Na kunawaziri anakula mshahara. Inflation zote hiz mnakosa hata solution?
Hata kuanzisha pochi la biashara ndani ya mobile money. Watu walipe kwa Mpesa kila mahali mnashindwa? Mzunguko wa pesa kuwa digital ili muondoe ufujaji wa hela na money loundering.


Kenya wanapitia kipindi kigumu sana. Lakini kwa kuwa wanamfumo mzr wa mobile banking hela yao haitetereki.
 
Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??


Ni swali tu
Kumbuka Mkenda ni mchaga. Hilo tu ndo litamwaribia. Kimei asingekuwa mchaga leo angekuwa waziri wa fedha na uchumi. CCM hadi leo wanajuta kumpa Basil uwaziri wa fedha wanadai alijaza sana wateule wayahudi wa Tanzania TRA.

darcity Accumen Mo johnthebaptist Etwege
 
Back
Top Bottom