Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Watu wa Usalama mnapigiana chapuo sio..? Haha
Hao uliowataja licha ya kuwa ni vichwa ila ni vipenyo wabobevu, wanabeba sana maslahi ya Taifa kwanza kabla ya kitu chochote, ndio maana Kigwa hana hamu na Mkenda.
 
Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??

Ni swali tu
Kihenzile huyuhuyu ambae kushawishi lami iwekwe kati ya Mafinga na Mgololo ameshindwa?! Au Kihenzile who?!
 
Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??

Ni swali tu
Mara ya mwisho mchaga kuwa waziri wa fedha nadhani ilikuwa kwa Basil Pesambili Mramba na nadhani alikuwa mbunge wa Rombo kama ilivyo kwa Proffesor Mkenda. Mimi binafsi naona Mkenda anafaa tena sana kupewa hiyo wizara ya fedha na mipango huyu Mwigulu tumeshachoka majivuno yake.
 
Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??

Ni swali tu
Mkenda ni mdogi sana kwa mwigulu kw briliance ya uchumi. Kumbuka mwigulu alipata first class ya uchimi pale udsm wakati mkenda ana upper second tu
 
Ni vitu havishabiani hata kidogo.
Akili ya mtu ni performance usunifurahishe kwa vile ulifeli sena umepata zari la kuwa na hela kama makonda ambaye ana zero ya form four lakini ana hela. Lakini mara nyingi watu wa hivyo huwa ni wachawi sana mana akili hawana ila nguvu yao ipo kwingine
 
Kuna jamaa huko Twitter anajiita TANZANIA ABROAD TV Huwa anachukua post zako na za wengine anapost huko na hii ameshapost
Nadhan tuna vyanzo sawa Kuna muda nilipost jambo muda huo huo naona naye kashapost, na kuna muda Alipost baada ya dakika kadhaa nikapost, nikaja gundua atakuwa kwenye GOT moja nami
 
Back
Top Bottom