Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??

Ni swali tu
WhatsApp Image 2024-07-22 at 17.02.41 (1).jpeg
WhatsApp Image 2024-07-22 at 17.02.41.jpeg
 
Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??

Ni swali tu
Hivi mnapotaja taja majina, huwa mnawajua kweli hao mnaowataja au vyeti ndio msingi wa kumtaja mtu..km ni vyeti kwanza huelewi mahitaji ya nchi kwa sasa kwenye eneo husika na pili zama hizi na hasa Tanzania vyeti sio msingi wa kupima uwezo wa mtu kiutendaji..usipojua haya bac wewe ni kasuku!
 
Relax
 
Back
Top Bottom