Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
MnikomeWw ni mgumu sana wa kuelewa, ngoja nikuache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnikomeWw ni mgumu sana wa kuelewa, ngoja nikuache
Ingawa mimi pia natoka kule ila Basil alizidi. Toka akiwa Mkuu wa Mkoa Mbeya. Alikuwa anafanya vikao mkakati na watu wa kule, kupeana kazi, hususani za barabara, na ajira. Tunajua kukumbukana.Kumbuka Mkenda ni mchaga. Hilo tu ndo litamwaribia. Kimei asingekuwa mchaga leo angekuwa waziri wa fedha na uchumi. CCM hadi leo wanajuta kumpa Basil uwaziri wa fedha wanadai alijaza sana wateule wayahudi wa Tanzania TRA.
darcity Accumen Mo johnthebaptist Etwege
🤣🤣Siombei mapepo bwanaHahahaha Tayana tulia, kaombee mapepo.
Soma 'INAWEZEKANA'
Kuna doubt. Ila ile ya January na Nnauye alikuwa direct. Watatenguliwa.
Mvaa bendera kwa huyo mama, ni roho yake ya pili.
Fanya uje kuniombea 🤣🤣🤣🤣🤣Siombei mapepo bwana
Naombea watu mapepo yawatoke.
Sawa ngoja tuone
Naona acc ya kigogo insta umerudi Kwa kasi
MmhWewe ndio cute wife na ndio nikki the second
🤣🤣🤣Fanya uje kuniombea 🤣🤣🤣
Huyo dogo haachwi. Akiachika nidai 100k. Ila usiende kukesha litokee, ili uje kunidai 🤣🤣🤣🤣. Maana hushindwi.
Sijaingia huko kuona X
Kausha basi kipenziKukaza ubongo kunahusiana nini na nilichokwambia?
Sasa unamwambia anitafute mimi ili iwe nini?? Kulikuwa na umuhimu gani wa kunitaja?
Km uliona hamuelewani si ungempotezea
Atakuwa maeharibu,,mkenda amuache hapohapo.Jamaa watajana BOT na TRA wakasikazini tupu kwani effect ya enzi za mramba na wengineo Bado Iko Hadi sasaJe inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Umelewa tayanaMmh
Mmeanza jmn
Myahatibu Uzi
No, hizi mambo za kipumbavu zilisababisha nikaungiwa id yangu.!!Kausha basi kipenzi
Nitatuma wanajeshi elfu 60 na ndege za kivita na ndege za kuongeza mafuta na air defense endapo kutatoke vita hapa..No, hizi mambo za kipumbavu zilisababisha nikaungiwa id yangu.!!
Halafu hizi level nishavuka sitaki kujibizana na mtu naona hawaridhiki wakiniona nimetulia.!!
Mkenda anafaa ukienda kwa uwezo wake.Umewasagia kunguni meku ,wachaga siku hizi hatutaki pesa tena tunataka tu mbege hatuna shida tupewe kitengo.
Mwigulu ni mwizi na mhujumu uchumi ila anajua kula na mamlaka za utenguziJe inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Ni mimi huyo.Kuna jamaa huko Twitter anajiita TANZANIA ABROAD TV Huwa anachukua post zako na za wengine anapost huko na hii ameshapost
Kwamba 2025 anakuja Rais mwingine?Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
😁😁2025 umetaja ww,mwenzako hakuna alipoitaja hapoKwamba 2025 anakuja Rais mwingine?