Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

Kumbuka Mkenda ni mchaga. Hilo tu ndo litamwaribia. Kimei asingekuwa mchaga leo angekuwa waziri wa fedha na uchumi. CCM hadi leo wanajuta kumpa Basil uwaziri wa fedha wanadai alijaza sana wateule wayahudi wa Tanzania TRA.

darcity Accumen Mo johnthebaptist Etwege
Professor Adolf Mkenda ni GURU LA UCHUMI.
Huyu ni Mwanafunzi wa Prof Ibrahim Lipumba ambaye ni Maktaba ya UCHUMI.

Tanzania hajawahi kuishi kwenye falsafa za kikabila na hata kama imewahi kuwepo dhana ya namna hiyo ukweli ni kwamba siyo mpango au tuseme siyo sifa ya Nchi yetu.

Kazi na iende mbele britanicca
 
"
Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??

kwa mimi nilivyoelewa kuwa Kuna Rais mpya tutapata muda si mrefu? maana ukisema akaja Rais maana yake ni mpya hapo baadaye

labda angeandika Rais hapo baadaye siyo akaja Rais hapo baadaye
 
Professor Adolf Mkenda ni GURU LA UCHUMI.
Huyu ni Mwanafunzi wa Prof Ibrahim Lipumba ambaye ni Maktaba ya UCHUMI.

Tanzania hajawahi kuishi kwenye falsafa za kikabila na hata kama imewahi kuwepo dhana ya namna hiyo ukweli ni kwamba siyo mpango au tuseme siyo sifa ya Nchi yetu.

Kazi na iende mbele britanicca
CCM wanayo sana. Usijaribu kupinga na kutetea
 
Je, inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?

Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha ??

Ni swali tu
Hakuna cha ajabu mbona, nafasi za kisiasa si ni watu wanabadilishana tu? no security of tenure kwa ngazi zingine zote ukiacha Rais na Makamu wake, acheni uchoro kumwazia mtu eti kuondolewa Uwaziri, kwani itakuwa mara ya kwanza?
 
Mkenda ni mdogi sana kwa mwigulu kw briliance ya uchumi. Kumbuka mwigulu alipata first class ya uchimi pale udsm wakati mkenda ana upper second tu
Haya makaratasi ya shule hakuna mtu mwenye haja nayo, tunataka implimentation.

Kazi ya Dr Kimei tumeiona Crdb siyo blah blah, Mwiguru aliwahi kufanya jambo gani la maana zaidi ya ugaidi?

Amemmwagia tindikali mtoto watu amekuwa kama kinyago ili apande naye jukwaani kueneza propaganda za Savimbi hana akili kichwani.
 
Kumbuka Mkenda ni mchaga. Hilo tu ndo litamwaribia. Kimei asingekuwa mchaga leo angekuwa waziri wa fedha na uchumi. CCM hadi leo wanajuta kumpa Basil uwaziri wa fedha wanadai alijaza sana wateule wayahudi wa Tanzania TRA.

darcity Accumen Mo johnthebaptist Etwege
Bwana Mongolia umeanza tena Ukabila lini? Je Wasukuma wote wanatabia inayofanana? Tuache stereotyping.
 
Back
Top Bottom