darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Ajabu, akasahau kuwaweka wa familia yake!Kumbuka Mkenda ni mchaga. Hilo tu ndo litamwaribia. Kimei asingekuwa mchaga leo angekuwa waziri wa fedha na uchumi. CCM hadi leo wanajuta kumpa Basil uwaziri wa fedha wanadai alijaza sana wateule wayahudi wa Tanzania TRA.
darcity Accumen Mo johnthebaptist Etwege