Yaani uvccm inatoa magarasha , hamna mwenye akili hata mmoja. Huyu ni waziri wa ulinzi au propagandist?Nawaonea huruma sana hawa vijana, viongozi na propagandists wa CCM..Ni busara wanyamaze kimya tu, mambo yote watakayozungumza yanawalenga na kuwarudia wa..
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama vinavyotumia demokrasia hiyo kama kichaka cha kufanya vurugu na kuchochea uasi ndani ya Taifa.
akihutubia katika mkutano wa hadhara Itigi, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida Januari 18, 2026 Amesema wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa, kulikuwa na chama kimoja CCM na bila chama hicho, huenda hata upinzani usingefika hatua ya kuwa na nguvu za kisiasa kama ilivyo leo.
Hata hivyo, amesema wapo watu kutoka katika Vyama hivyo vya upinzani walio tayari kutafuta madaraka kwa gharama ya kuumiza wananchi.
"Kuna watu wako tayari kuutafuta uongozi hata kwa kuumiza watu wengine… vyama hivyo vipo, na vinawaambia Watanzania fanyeni vurugu muidai haki. Kuna haki ya vurugu? Hatuna Taifa lingine zaidi ya Tanzania."
Ziara ya Mwenezi huyo inaendelea leo Mkoani Singida, katika maeneo ya Singida Mjini.
Pumbavu! CCM ndicho chama ambacho kinaua watu ili kiendelee kuwa madarakani.Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama vinavyotumia demokrasia hiyo kama kichaka cha kufanya vurugu na kuchochea uasi ndani ya Taifa.
akihutubia katika mkutano wa hadhara Itigi, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida Januari 18, 2026 Amesema wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa, kulikuwa na chama kimoja CCM na bila chama hicho, huenda hata upinzani usingefika hatua ya kuwa na nguvu za kisiasa kama ilivyo leo.
Hata hivyo, amesema wapo watu kutoka katika Vyama hivyo vya upinzani walio tayari kutafuta madaraka kwa gharama ya kuumiza wananchi.
"Kuna watu wako tayari kuutafuta uongozi hata kwa kuumiza watu wengine… vyama hivyo vipo, na vinawaambia Watanzania fanyeni vurugu muidai haki. Kuna haki ya vurugu? Hatuna Taifa lingine zaidi ya Tanzania."
Ziara ya Mwenezi huyo inaendelea leo Mkoani Singida, katika maeneo ya Singida Mjini.
Umesaidia kuuliza.Chama gani zaidi ya hicho chake mwenyewe
Huyu amekosa ujasiri au hana akili timamu? Si aseme moja kwa moja kuwa CCM ni chama shetani ambacho kipo tayari kuua na kuteka Watanzania, ili tu kibakie madarakani kwa hila?
Hakuna shetani mbaya Ulimwengu huu kwa sasa kuizidi CCM. CCM ni hatari kwa uhai wa mwananchi kwa sasa kuliko janga lolote kwa sasa. Hakuna janga lolote Tanzania lililowahi kuwaua watanganyika zaidi ya 700 kwa wakati mmoja, CCM imewaua watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya siku 3!!
Utawala wa sasa wa Tanzania ni utawala mbaya kuliko itawala wowote, wa nchi yoyote Duniani. Hakuna utawala wowote, hata unaoufikiria ni mbaya sana, ambao uliwahi kuua watu wake kwa idafi ya zaidi ya watu 3,000, tena ndani ya siku 3.
CCM HAOKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama vinavyotumia demokrasia hiyo kama kichaka cha kufanya vurugu na kuchochea uasi ndani ya Taifa.
Akihutubia katika mkutano wa hadhara Itigi, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida Januari 18, 2026 Amesema wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa, kulikuwa na chama kimoja CCM na bila chama hicho, huenda hata upinzani usingefika hatua ya kuwa na nguvu za kisiasa kama ilivyo leo.