Kihongosi: Kuna vyama wapo tayari kuumiza watu ili wawe viongozi

Hahahahaha ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ kwanini anakimbia, aende direct kunena..

Huyu miezi 6 Hana kwenye hiyo nafasi
 
KATIBU MKUU kagoma kuambatana mitaani na huyu panya road.

She has a massive reputational interest to lose.
 
Unakuta waliohudhuria mkutano huo wote wamelipwa ili kuwepo hapo. Hakuna m-Tanzania mwenye akili timamu kabisa anaweza kupoteza muda wake kuhudhuria mikutano ya ccm.
 
Nawaonea huruma sana hawa vijana, viongozi na propagandists wa CCM..Ni busara wanyamaze kimya tu, mambo yote watakayozungumza yanawalenga na kuwarudia wa..
Yaani uvccm inatoa magarasha , hamna mwenye akili hata mmoja. Huyu ni waziri wa ulinzi au propagandist?

Mbaya zaidi anaonge trash, future ya hili taifa inasikitisha
 

CCM wanajizungumzia wenyewe may be bila kujua au kwa kujaribu kuspin.
 
Huyu amekosa ujasiri au hana akili timamu? Si aseme moja kwa moja kuwa CCM ni chama shetani ambacho kipo tayari kuua na kuteka Watanzania, ili tu kibakie madarakani kwa hila?

Hakuna shetani mbaya Ulimwengu huu kwa sasa kuizidi CCM. CCM ni hatari kwa uhai wa mwananchi kwa sasa kuliko janga lolote kwa sasa. Hakuna janga lolote Tanzania lililowahi kuwaua watanganyika zaidi ya 700 kwa wakati mmoja, CCM imewaua watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya siku 3!!

Utawala wa sasa wa Tanzania ni utawala mbaya kuliko itawala wowote, wa nchi yoyote Duniani. Hakuna utawala wowote, hata unaoufikiria ni mbaya sana, ambao uliwahi kuua watu wake kwa idafi ya zaidi ya watu 3,000, tena ndani ya siku 3.
 
Pumbavu! CCM ndicho chama ambacho kinaua watu ili kiendelee kuwa madarakani.
 
Hii ni satire au alitaka kukiambia chama chake ukweli ila akajishtukia! Atasema ukweli wote siku moja.
Kama kweli alimaanisha, ni kwanini vyombo vya dola havijawahi kumkamata kihongozi yeyote wa vyama vya upinzani kwa kosa la kuumiza raia? Au viongozi hao wapo juu ya Sheria?
Aseme tu ukweli kuwa anaumizwa sana ccm jinsi inavyoteka, ua na kutesa wananchi ili wasalie madarakani! Apuuzwe na wote na tumdharau sana huyu mfadhili wa Lucy!
 

Tatizo la hawa WASHENZI wanaongea as if nothing happened na ni wasafi sana wakati matatizo yote ndiyo wao wanayoyasababisha.
 
Hiki kijamaa hakinaga hoja kbs sijui kilistahili vipi kuwa kalipo yani, hakina record yoyote ya performance popote sijui huko kwenye kudesa, ukiunganisha na mwegulu duh, unajiuliza hii inchi tunapelekwa wapi kengez yani! Chepesi mno kwa nafasi inayohitaji impact yani!
 
CCM HAO
 
Waswahili walisema "Nyani haoni kundule".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ