Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Sidhani!Mwanamme kufukuzwa chumbani hapo ujue huna akili wala pesa.
Ukiwa na akili au pesa wewe ndiye unafukuza, kamwe hufukuzwi.
Sidhani!Mwanamme kufukuzwa chumbani hapo ujue huna akili wala pesa.
Ukiwa na akili au pesa wewe ndiye unafukuza, kamwe hufukuzwi.
Pia,Nilijiuliza pia.
Kwa nini? Toa sababu usiishie kusema hudhani tu.Sidhani!
hapo hapana nina historia nayo mbaya isiyo futika labda rain......😅Asante sana karibu Golden...
Unaamini sana kwenye ubabe na pesa kwa sababu hujui nguvu ya psychological warfare. Mwanamke akiamua kukuhama chumba yeye mwenyewe kwa hiari yake, pesa na akili vinakuwa vimekusaidia nini hapo?Kwa nini? Toa sababu usiishie kusema hudhani tu.
Upungufu wa nguvu za kiume wengi wamelishwa taarifa ambazo sio sahihi, na mwanaume amelengwa kwa sababu za kibiashara. Lakini ukifatilia kwa undani utaona wanaume hawana tatizo. Tatizo kubwa lipo uoande wa wanawake kwa sababu maumbile yao ni complex kidogo na pia wapo too much dependent kwa mwanaume kiasi kwamba hawaoni madhaifu yao na wanasahau kwamba nao wanatakiwa kuwajibika. Shida kibiashara wanawake sio target nzuri, kwahiyo jumba bovu inabidi aangushiwe mwanaume ili biashara ifanyikeSi vema kulikimbia ama kulikwepa hili tatizo kwasababu kama hizo. Hili tatizo ni halisi na lipo tena kwa ukubwa wake
Kwanza kabisa sijaamini sana kwenye ubabe na pesa, ndiyo maana nikasema akiki na pesa.Unaamini sana kwenye ubabe na pesa kwa sababu hujui nguvu ya psychological warfare. Mwanamke akiamua kukuhama chumba yeye mwenyewe kwa hiari yake, pesa na akili vinakuwa vimekusaidia nini hapo?
Binadamu siyo roboti kwamba utatumia akili kumchunguza kisha asibadilike.Kwanza kabisa sijaamini sana kwenye ubabe na pesa, ndiyo maana nikasema akiki na pesa.
Mwanamke akiamua kuhama chumba yeye mwenyewe kwa hiyari yake, hapo maana yake hukuwa na akiki ya kuchagua mwanamke asiyeweza kukufanyia hivyo.
Kwa hiyo hapo hukutumia akili vizuri kumchunguza mwanamke kabla hubaoa.
Tunarudi kulekule kwenye akili.
Logical non sequitur fallacy.Binadamu siyo roboti kwamba utatumia akili kumchunguza kisha asibadilike.
Nadharia yako yote imekaa kinadharia sana. Unafikiri kila mwanaume anayeachwa au kupitiwa na hayo matatizo hana pesa au akili?Logical non sequitur fallacy.
Ni kweli binadamu si roboti, lakini hilo halimaanishi kuwa mwanamme hawezi kumchunguza mwanamke katika viwango fulani na hata kama akibadilika, asipite kiwango fulani.
Pia, mwanamke akikuletea nyodo kama una akili na pesa si unamuacha unahama tu unalianzisha na mwingine?
Hapo bado vipengele ni akili na pesa tu, hakuna cha ziada.
Yani mwanamme ukiwa na akili na pesa mwanamke utakayekuwa naye mwenyewe kwanza anakuganda wewe.
Yani tatizo lako linakuwa mwanamke kukuganda wewe, si kukukimbia.
Ukishaona mwanamke kakuchoka, kakukimbia, anakuletea nyodo, ujue hapo kipengele cha pesa au akili kimepungua.
Kwani wapi nimesema mwanamme mwenye pesa na akili hawezi kuachwa na mwanamke?Nadharia yako yote imekaa kinadharia sana. Unafikiri kila mwanaume anayeachwa au kupitiwa na hayo matatizo hana pesa au akili?
Nenda kawaulize mabilionea kama Jeff Bezos au Elon Musk kwanini waliaachika na wake zao wakawamwaga.
Hiyo pesa na akili yako imewazidi hao?
Nimekuelewa sana, hoja yako ni kwamba mwanaume akiwa na pesa na akili ana control yote.Kwani wapi nimesema mwanamme mwenye pesa na akili hawezi kuachwa na mwanamke?
Hivi unaelewa hata hoja yangu ni ipi hapa?
Wanaume tunapambana sana kutafuta pesa ili tuwe vichwa vya familia, lakini ukishafikia hatua ya kufukuzwa chumbani, hiyo ego yako yote inaishia hapo.
Nimekuelewa sana, hoja yako ni kwamba mwanaume akiwa na pesa na akili ana control yote.
Si ndio ulicho kimaanisha toka mwanzo wa reply yako kwenye comment yangu?
Kama neno kufukuzwa umelitafsiri tu kuwa ni kutolewa ndani ya chumba, basi ni wazi haujaelewa kwa undani.Hilo wazo la mkeo kufikiri anaweza kukufukuza linawezekana vipi?
Hii Dunia inamaajabu hakika.
Mwanaume kabisa unafukuzwa na mwanamke kwenye nyumba yako mwenyewe? Itakuwa anajua wewe huna roho ngumu na mshenzi.
Mwanaume lazima uwe na sura mbili. Ila ya wema na ile ya ubaya. Roho ngumu
Na mimi hoja yangu haijajikita katika kufukuzana tu ndani ya nyumba kama kuku.Anamaanisha mwanaume mwenye pesa na akili hawezi kufukuzwa na mkewe ndani ya nyumba yake.
Kama neno kufukuzwa umelitafsiri tu kuwa ni kutolewa ndani ya chumba, basi ni wazi haujaelewa kwa undani.