Kihoro kikubwa cha kuogofya cha mwanaume(Men's worst nightmare)

Kihoro kikubwa cha kuogofya cha mwanaume(Men's worst nightmare)

Unaishi sayari gani wewe? Kwenye jamii yetu ya Kiafrika, mkeo akichepuka na kila mtu mtaani akajua, hakuna atakayesema yule mwanamke hana akili, jamii itamnyooshea kidole mume kwamba yule mwanaume ameshindwa kulea na kuisimamia nyumba yake.

Usaliti wa mwanamke huwa unavunja heshima ya mwanaume kwa 100% kijamii, you cannot separate a man’s respect from his wife’s behavior katika uhalisia wa maisha.
Usaliti wa mwanamke huwa unavunja heshima ya mwanaume kwa 100% kijamii, you cannot separate a man’s respect from his wife’s behavior katika uhalisia wa maisha.✍🏿💪🏿
 
Hivi kuna kitu kinachomvua mwanaume heshima na utu wake kijamii kama kugundua analea watoto wa mtu mwingine?

Wewe unaishi dunia ya kufikirika naona.
Mkuu,

Hii dhana kwamba mwanamme kulea mtoto asiye wake ni aibu ni dhana ya kupangwa kijamii tu.

Naelewa point yako kubwa kwamba kuna hadaa hapo, mwanamme amefanyiwa hadaa na mwanamke, na hiyo hadaa ndiyo aibu yenyewe. Wanaume wengi wanalea watoto wasio wao, kwa kujua, na hilonsi jambo la aibu. Wengine wanaenda kuwa watu muhimu duniani kina Clingon na Obama wote wamelelew ana wanaume wasio baba zao.

Kulikuwa na jamii Ugiriki ya kale watu wa Sparta.

Spartans walikuwa ni watu wanaothamini sana maisha ya kijeshijeshi, maisha ya watu kuishi kwa kutokuwa na anasa. Kuishi simple kabisa.

Walikuwa wanaona habari nzima ya mwanamme kulea watoto wake yeye mwenyewe ninudhaifu, inazuia nchi kuwa na jeshi zuri. Kwa sababu watu wanaopenda kulea watoto wao wenyewe wataogooa kuwa wanajeshi mahiri, wataogopa vita, kwa kujua kuwa wajifa vitani, watoto wao watakosa malezi mazuri.

Wakaja na mfumo wao wa kulea jamii. Wakafanya watu wote wa rika fulani ni baba za watoto wa umri fulani. Yani hapo hakuna mtoto wako, watoto wote ni wa jamii. Ukizalisha mwanamke leo, kesho unaenda vitani, anakuja mtu wa rika lako aliyetoka vitani leo, anakaa na mke wako anamlea mtoto wako kama wake. Na wewe ukirudi unaweza kumkea mtoto wa mwanamme mwingine yeyote wa rika lako.

Katika jamii hiyo, wake na watoto mna share wanaume wote wa rika moja.

Na jamii yao ikiweza ku function vizuri tu, wakawa na jeshi zuri. Huu nfumo ukiwqsaidia juwa na jeshi imara, kwa sababu kila mwanamme alijua hata akifa vitani, watoto wake wana uhakika wa kulelewa na wanaune wengine.

Na katika jamii zinazohesabika kuwa na wanaume shupavu kabisa duniani, mojawapo ni hii ya Spartans. Mpaka leo katika Kiingereza ukimuita mtu "spartan" hiyo ni sifa kwamba huyu mtu anaweza maisha ya kujinyima, hataki anasa sana, ni sifa nzuri.

Mfano, naweza kumsifia Nyerere kwa kusema "Mwalimu Nyerere was a spartan African leader who shunned luxury and said he did not need a big house because he is not an elephant"

Ukiisoma hii jamii ya Spartans, na jinsi wakivyoweza kuishi hivyo, utaona hii habari ya mwanamme ni aibu kulea mtoto asiye wake inaweza kuwa na mashiko katika jamii iliyokubaliana kuwa lazima mwanamme alee watoto wake tu.

Ukiwa katika jamii ambayo inalea kwa pamoja kama Spartans, hiyo si issue.

Hili linaonesha kuwa haya mambo ni ya kujipangia wenyewe tu katika jamii hayana sheria kama za physics.
 
Ndo maana Tx Moshi william aliwahi kusema wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika, kutafuta kwa jasho, kutunza familia, kusomesha watoto ambao pengine siyo wa kwetu bado tena kumridhisha mama watoto kitandani, ndiyo maana life expectancy inakuwa haba kwa upande wetu
 
Ndo maana Tx Moshi william aliwahi kusema wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika, kutafuta kwa jasho, kutunza familia, kusomesha watoto ambao pengine siyo wa kwetu bado tena kumridhisha mama watoto kitandani, ndiyo maana life expectancy inakuwa haba kwa upande wetu
 
Imagine inapofikia mahali mwenzako anahama chumba cha kulala ama anapotaka kubadili nguo anakuomba umpishe🥺🙇🏿‍♂😭

👆imebidi kwanza nicheke 😅😅
Japo kua haichekeshi heh sa unafukuzwa je yaani si atoke yeye akabadilishie huko
 
Imagine inapofikia mahali mwenzako anahama chumba cha kulala ama anapotaka kubadili nguo anakuomba umpishe🥺🙇🏿‍♂😭

👆imebidi kwanza nicheke 😅😅
Japo kua haichekeshi heh sa unafukuzwa je yaani si atoke yeye akabadilishie huko
Daughter kua uyaone ila usiombe yakupate... Ni kwa vile tu wanaume wengi ni wasiri sana na si watu wa kupayuka
 
Nishakua Dad ila kama mambo ya kuona ni hayo sitaki kuyaona
Kwamba mkwe wako aniombe nimpishe abadili nguo ?
Sitompisha 😆
Mna kufa kiume sio
Ndiyo maana nyumba zina wajane wengi
Ndoa na mahusiano vina changamoto nyingi sana.. Utajisikiaje ukijua shemeji yako ndio basha wa mumeo🥱
 
Back
Top Bottom