Inasikitisha sana ๐ขBasi kuna watu wamekutana nayo live.. Na sio simulizi za kusadikika
Kabisa mwanamke atakua na chuki ya kudumu hapo mwanaume kaiweka rehani furaha yake mwenyeweHapana huyo jamaa mnyanyasaji.. Baada ya hapo unadhani kuna furaha tena ya ndoa?
Sio lazima ulale na mkeo chumba kimoja kila sikuWanaume tunapambana sana kutafuta pesa ili tuwe vichwa vya familia, lakini ukishafikia hatua ya kufukuzwa chumbani, hiyo ego yako yote inaishia hapo.
๐๐๐hahahaaUnafukuzwa vipi chumbani wajameni wajameni nimezononeka kumbe ndoani ni kubaya ShesRise_1
Mbamizwa ndege secretarybird ulifukuzwa na mkeo ndiyo maana ukahamia CHAPUTA
Eti babanguuuu mshana inawesekana mke ahame chumba au akaidi kutoa naniliu kwelyiiiiiiiiiiih babanguuuu ๐คฃ ๐คฃ๐๐๐hahahaa
Siwezi kumfukuza mume wangu chumbani achilia mbali kumnyimaUnafukuzwa vipi chumbani wajameni wajameni nimezononeka kumbe ndoani ni kubaya ShesRise_1
Mbamizwa ndege secretarybird ulifukuzwa na mkeo ndiyo maana ukahamia CHAPUTA
Kiruuuuu uko visurii mamaaah hayo ndrrrrrrooooo mamboSiwezi kumfukuza mume wangu chumbani achilia mbali kumnyima
Kuna vitu vya kumnyima sio unyumba
Mnapeana mkimaliza minuno ๐
Za kuambiwa ๐Kiruuuuu uko visurii mamaaah hayo ndrrrrrrooooo mambo
nichanganye na sa kwangu atiii ๐Za kuambiwa ๐
Si ndiyoooooo๐Mnapeana mkimaliza minuno๐๐๐ฟ
ulevi wa kupindukia tena wa mipombe feki ndio chanzo kikuuSi vema kulikimbia ama kulikwepa hili tatizo kwasababu kama hizo. Hili tatizo ni halisi na lipo tena kwa ukubwa wake