Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Bilioni 10(kumi)????? A garra go nigga
 
Hata kama.
 
Yes......yes...... Yes
 
Sema slang inficha madhaifu ya grammar, ndio mana wengi wanajificha huko
 
Cha mwendazake je!?
 
Uzuri alishasema kuwa yeye ni kama maji, huwezi mkwepa! Lazima umuongelee mdomoni mwako....
 
Davido ni mzaliwa wa Atlanta hata akiongea you garahhhh yake imepigwa Colgate OG. Kinaija anakitumia kupiga pesa tu.Ni kama watoto wa Bob Marley wanatumia kijamaica kupiga pesa wakati rafudhi yao OG ni ya Marekani.
Davido pamoja na kuzaliwa USA kakulia na kusomea Nigeria, hana American accent kabisa labda kama haujawahi kusiliza interviews zake.
Sometimes huwa anailazimisha lakini ile Nigerian accent huwa inasikika sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…