Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Bilioni 10(kumi)????? A garra go niggaSio ajabu,hata la saba hakumaliza,wewe unayejua kizungu una mchango gani kwenye jamii?Mond asiyejua kizungu kuwa na billioni 10 kwenye akaunti ni kitu Cha kawaida.
Waafrika tumelogwa kweli,yaani mkwanja wote alionao Mond,unamuona sio chochote kwa vile tu,hajuhi kizungu?