Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

kumbuka kiingereza kwake ni cha mtu ambaye hana elimu, amejifunzia kwa kusikia tu kwa Zari, na kiingereza cha zari chenyewe unakijua, yeye mwenyewe hana elimu, anazo tu sehemu za siri.
[emoji16][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa tusemeje kama mtu mashine yake ipo hadi kwenye website za porno anajicam kwenye uchi ndani kabisa. wanawake kuweni makini, na sisi wanaume tuwe makini watu wa kuzaa nao, kuna mapicha yakiwekwa mtandaoni hadi wajukuu watakuja kuona uchi wako.
 
Sikilizeni nyie mbuzi mwitu, hyo ni lugha ya kisanii , jamaa kaishia form four sjui form two lakni anajitahd kuitendea Haki tasnia yake , kuna undergraduate kibao tuu wakikutana na snoopy Dogg lazima wachore , ...... Ni kweli jamaa kingereza ni cha kuunga unga hata hvyo anajitahd kuliko kunyamaza kimya .....

Alaf we mtoa mada ni expert kwenye fluent English au na wewe ni mabonde kuinama a.k.a Sura ya kushindia makande
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie kumbe hamjui lugha ya malkia ilvongumu kwa walojifunzia ukubwani yaani bila hizo agaar sijui nigaaa, akisema aongee kama mtandale utacheka mpaka machozi yaani ni full broken na breki za kutosha kwa hyo hiyo staili inamsaidia sana asingundulike kama hajui english
 
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.

Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.

You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!

Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!

Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.

Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!

Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.

Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "

"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"

Ndo nini sasa?
Ila waswahili sijui Nani aliwaloga aisee
 
Back
Top Bottom