Kiingereza cha hakimu wa Sugu chazua gumzo twitter Kenya

Kada ya sheria "imeingiliwa"
Kama kweli kaandika yeye ana kazi sana kufikia nchi ya viwanda
 
Mkuu wa giza kamwe hatambi ktk nuru
 
sasa huyu akipewa maelekezo toka juu anaweza kuwa na ubavu na hoja za kupinga? ningependa kujua chuo alichosoma. alivyohusihanisha ugonjwa wa Rais na thamani ya shilingi atakuwa aliona ameongea bonge la point. 🙂🙂🙂🙂🙂
 
Uzuri Hukumu ilitolewa na Sugu alikua mdogo kama priton
 
Kali zaidi ni hapo alipoandika ''If he contract sickness, even not serious the country currecy must lose it is value'' Kumbe ndio maana shilingi yetu inaporomoka kila siku kwani bwana mkubwa hata akipata mafua tu inaporomoka! Asante sana hakimu!
Mkuu usimlaumu mhe hakimu. Alishadeclare kuwa ile case umempa kasheshe kwake hadi akashindwa kujitoa!
 
Kama nchi, ndugu zangu tuna hali mbaya sanaaa. Hata magufuli hawezi kuandika kimombo. Nimeona clip moja ya magu, enzi akiwa waziri anahojiwa kwa kimombo kuhusu kivuko na ajali zake yaani jibu alilolitoa kwa kimombo hata mwanafunzi wa form 1. Pale marian angemshinda.
 
Ni vigumu sana kuamini kuwa hii hiyo 'sentence'iliabdikwa na hakimu mkazi. Hata mwanafunzi wa diploma ya sheria hawezi kuzalisha kitu cha namna hiyo.

Hebu tujiulize, hayo mambo ya mitandao ha kijamii yalikuwa yanahusiana nini na kesi ya Sugu na mwenzake?

Ukiachilia mbali vituko vya lugha,hiyo kitu inatafakarisha sana.

Mimi ni wa mwisho kuamini hiyo ilikuwa kazi ya Hakimu mkazi. Pengine ni kada fulani tu!
 
Aibu gani kwani Kiingereza lugha yetu.
 
Kwaio president ni abnormal citizen itakua ni malaika huyu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…