Kiingereza cha Kimarekani chamkanganya Ruto

Ruto yupo sahihi na wala hajaigiza, kiingereza cha kimarekani ni tofauti sana na british

Ma-nigga waliongea kwa lafudhi yao tofauti ili kuficha maongezi yao yasieleweke na white folks kipindi racism imekolea

leo ikisikiliza interview ya Meekmill unaweza usiambulie chochote ila ukasikiliza interview ya kiongozi wa uingereza unaweza ukaambulia chochote maana wanaongea kiingereza fasaha

mimi ni mtanzania ila kuna muda nikisikiliza interview ya chid-benz nakuwa simuelewi kabisa na anaongea kiswahili
 
Inafurahisha kuona watu wakichambua Kiingereza cha Wamarekani as if kuna lahaja moja tu Marekani nzima 🤣.
 
Umejirekodi

Wewe mwenyewe unajua cha kuongea ila kuandika hakuna kitu

American scent(marashi ya kimarekani) inaonesha mabwana zako unawaagiza sana marashi

Ni American accent(rafudhi au kiinitoni ya kimarekani) .....kati yahayo mawili lipi ulimanisha

Nashukuru tena ruto na Kenya kutukuzia kishwahili chetu ...mpango wamungu
 
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄

Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu hii kakutana na Mkenya aliyeizoea American scent. Alipoona hamwelewi, alimwuliza kama anaweza akaongea kwa Kiswahili.

Yaani Kiswahili kilionekana chepesi kukielewa kuliko Kiingereza cha huyo mwanamke.

Hii iwatie moyo wale wote wasiojiamini katika hii lugha! Ukishindwa kuielewa, usione haya kuuliza hata kama utachekwa. Lakini pia usiache kuendelea kujifunza.
View attachment 2997740
Yo warap wara mseng im represenhe kenya ,we are very exciting to have you here and to introduce ma self my name is "breen seeng".

Mimi niliosoma kayumba nimeuelewa inakuwaje Ruto kashindwa kumuelewa?
 
Slang si kitu cha mchezo uliozoea kuongea kiingereza cha kawaida unasikiwa mpaka na wa la nne utalowa tu. Nikiwa sekondari ile tunaita welcome form five general meeting ukumbi mzima ulizizima kwa vicheko vikiwacheka walimu baada ya kuachwa hoi wasielewe maneno ya slang aliyoongea mwanafunzi mmoja aliyekuwa anajitambulisha. Ilibidi shule nzima tuanze kujifunza slang, novel zote tukawa tunazisoma kwa lafudhi ya kiingereza cha marekani, tulianza kufuatilia mashairi ya kina tupac yaliyoandikwa kwa lahaja zao, ikawa ni fasheni kuongea slang shuleni, wanafunzi wasioweza kuongea slang tuliwaona ni washamba
 
H
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄

Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu hii kakutana na Mkenya aliyeizoea American scent. Alipoona hamwelewi, alimwuliza kama anaweza akaongea kwa Kiswahili.

Yaani Kiswahili kilionekana chepesi kukielewa kuliko Kiingereza cha huyo mwanamke.

Hii iwatie moyo wale wote wasiojiamini katika hii lugha! Ukishindwa kuielewa, usione haya kuuliza hata kama utachekwa. Lakini pia usiache kuendelea kujifunza.

Hatar sana
 
Yo warap wara mseng im represenhe kenya ,we are very exciting to have you here and to introduce ma self my name is "breen seeng".

Mimi niliosoma kayumba nimeuelewa inakuwaje Ruto kashindwa kumuelewa?
Umemuelewa kwa sababu haupo kwenye tukio live na wewe si mhusika wa mjadala, mhusika wa mjadala ni Ruto. Wewe ni msikilizaji tu na sio mjibu hoja.
 
Hata baadhi ya series mimi hupakua subtitle , watu huwa wananicheka lakini accent ziko tofauti sana !

Mimi waingereza huwa siwasikii kwa kweli akiongea huwa naambulia vitu vichache
 
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄

Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu hii kakutana na Mkenya aliyeizoea American accent. Alipoona hamwelewi, alimwuliza kama anaweza akaongea kwa Kiswahili.

Yaani Kiswahili kilionekana chepesi kukielewa kuliko Kiingereza cha huyo mwanamke.

Hii iwatie moyo wale wote wasiojiamini katika hii lugha! Ukishindwa kuielewa, usione haya kuuliza hata kama utachekwa. Lakini pia usiache kuendelea kujifunza.

We hata hujaelewa muktadha! Ruto sio kwamba alikuwa haelewi, alikuwa a najaribu kuwa charismatic, kwa, kumtania huyu mama wa Kenya, kwamba kizungu chake,kimekaa ki US zaidi wakati yeye ni mkenya,hiyo kumwambia azungumze Swahili, ilikuwa ku mchallenge kama anaweza kuzungumza Swahili kama anavyo gonga ngeli!
Ni utani zaidi, hata hadhira,ilionekana inakubali, mzungumazaji amejaa u US saaana, Ruto sio JPM au Ndalichako na broken zenu wabongo
 
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄

Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu hii kakutana na Mkenya aliyeizoea American accent. Alipoona hamwelewi, alimwuliza kama anaweza akaongea kwa Kiswahili.

Yaani Kiswahili kilionekana chepesi kukielewa kuliko Kiingereza cha huyo mwanamke.

Hii iwatie moyo wale wote wasiojiamini katika hii lugha! Ukishindwa kuielewa, usione haya kuuliza hata kama utachekwa. Lakini pia usiache kuendelea kujifunza.

ambacho sijawahi kuelewa hadi leo ni kwamba, Kiingereza cha wamarekani wazungu ni kizuri sana, ila kiingereza cha wamarekani weusi ndio kama hicho, hata kama wamesoma shule moja utakuta wapo tofauti hivyo. hivi shida ni nini?
 
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄

Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu hii kakutana na Mkenya aliyeizoea American accent. Alipoona hamwelewi, alimwuliza kama anaweza akaongea kwa Kiswahili.

Yaani Kiswahili kilionekana chepesi kukielewa kuliko Kiingereza cha huyo mwanamke.

Hii iwatie moyo wale wote wasiojiamini katika hii lugha! Ukishindwa kuielewa, usione haya kuuliza hata kama utachekwa. Lakini pia usiache kuendelea kujifunza.

ruto huyu wa mbagara maji matitu
 
Huyo mbona anaeleweka kabisa, usiombe ukutane na english ya Jamaika aisee hakuna neno huwa naokota mjamaika akizungumza.
 
Back
Top Bottom