Kiingereza cha Rais Samia

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Pep
 
Nilidhani issue ni nini kilichomo ktk speech! Kama speech imejaa mambo ya msingi basi tumuache Mhe. Rais afanye kazi. Vinginevyo ni kujadili fikra za kitumwa tu. Hata Mmarekani haongei kama Mwingereza.🙏🙏🙏
 
Sina Nia ya kubeza Imani ya mtu...zamani nikiwa mdogo nilikuwa na rafiki ambaye alikuwa anasoma kitabu flani cha dini yake kilichondikwa kwa lugha ya kigeni sasa siku moja nikaokota kipande cha gazeti ambalo limeandikwa kwa lugha hiyo nikamuomba aniambie gazeti Hilo limeandika kuhusu nini? Rafiki huyo akaniambia maandishi ya misahafu siyo sawa na maandishi ya gazeti japo ni lugha ile ile! Nilikuja kugundua kuwa huwa wanakaririshwa tu hata maana yake hawajuhi....kama mama alipitia masomo kama hayo hawezi kuhoji anachiandikiwa nini maana kukariri ndiyo asili yake!
 
Isiwe tabu, nenda kachukue nafasi yake uweke mambo kama unavyotaka wewe.
 
Wengine humu wanajidai kumkosoa wakati wakienda Testing hata 5band hawafikish
 
Mimi nimekuwa impressed na Kamala Harris kwa jinsi alivyotamka "Tanzania" kama inavyotakiwa. Huyu ni lazima aliuliza namna linavyo tamkwa kabla ya kumpokea mgeni wake.

Amandla...
 
Fikra za kitumwa tu zinawasumbua

Huyu nyani ngabu, mfano akutane na merkel anjela aongee kingereza aone akatachojibiwa kwa lugha gani
Kila mtu lazima athamini lugha yake

Ova


Kipindi JPM anawasisitizia kujikubali,kujiaamini na kuthamini lugha yetu ya kiswahili,si mlimwita mshamba kutoka chato ?..sasa leo ndio mnaona umuhimu huo baada ya bibi yenu kupuyanga?
 
I am very impressed with her..
Kwa level ya Watanzania yuko vizuri mnoo..
Vivaaa Mama Samiaa🇹🇿

Eloquent and Fluent,anachosema kinaeleweka,

aendelee kukomaa tu na written statements,.

Hv hapo mngemuweka Prof Ndalichako si badamu bagemwagika??
Hata Mama Mula ni kama kihaya tu
 
apparently u have something against her...and it severly impairs your judgement
Anajiuma uma sijui hajiamini? Not to that extent


But guess what
Who caress abt phonology now?🚮
VP got the msg
It is what it is...
Cheers
 
Watu wa kulaumiwa ni wasaidizi wake. Wao ndio wanaoandika hotuba. Vitu kama mgombea wa kwanza mwanamke wa umakamu wa urais havikutakiwa kuwepo, hasa enzi hizi za Google. Unless walikuwa wanamaanisha mgombea mwanamke mweusi. Kitu kingine ni party politics. Hapakuwa na haja ya kupongeza ushindi wa Tsunami wa Democrats wakati ukweli ni kuwa ushindi wao ulikuwa mwembamba sana na kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza House na Senate mwaka huu. Angeipongeza tiketi ya urais basi. Yote haya yanaonyesha kuwa wasaidizi wake hawako makini. Hilo anatakiwa alishughulikie mapema iwezekanavyo.

Amandla...
 
Inakwenda kusikojulikana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…