Kiingereza cha Rais Samia

Marekani ishakuwa na wagombea wawili wanawake wa katika nafasi ya umakamu wa Rais kutoka vyama vyao viwili vikubwa kabla ya Kamala.

Hangaya hajui hayo!

Hata Wikipedia huwa hachungulii?
Kilichomfanya azungumze hayo mambo ya wagombea wanawake uko kwenye nchi ya watu ni nini.kwani wao hawajui historia yao.mambo mengine bana.
 
Ni kweli.
Na ndio maana viongozi wa hizo nchi, huzungumza lugha zao.
Sasa mama, kiingereza hola, kiswahili hola. Hapo ndio tatizo linapoanzia!
 
Hata hapo anasoma lakini utata mtupu.
Ushungi sasa 🤦‍♂️
 
Inasikitisha sana,kujiona kutojua lugha ya nchi nyingine ni ujinga. Mzungu akiongea kiswahili cha kukoroga wanafuarahia ongea wewe
Fikra za kitumwa tu zinawasumbua

Huyu nyani ngabu, mfano akutane na merkel anjela aongee kingereza aone akatachojibiwa kwa lugha gani
Kila mtu lazima athamini lugha yake

Ova
 
Fikra za kitumwa tu zinawasumbua

Huyu nyani ngabu, mfano akutane na merkel anjela aongee kingereza aone akatachojibiwa kwa lugha gani
Kila mtu lazima athamini lugha yake

Ova
Mwambie Hangaya afute Kiingereza mashuleni na maofisini basi.
 
Hoja siyo bora yupi.

Suala la bora yupi ni suala la maoni yako.

Hoja hapa ni Kiingereza cha Hangaya.

Siyo Kiswahili cha Kamala.
Hoja imekuwa nzito kwakoe!!!😁😁😁 We Mbona hujui kiarabu na hatukucheki? Acha ushamba bhana
 
Hoja imekuwa nzito kwakoe!!![emoji16][emoji16][emoji16] We Mbona hujui kiarabu na hatukucheki? Acha ushamba bhana
Hehe ndomana nmemuliza lugha anazozijua

Ova
 
Dah mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania tutaambia Nini watu sasa??


"Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…