Kiingereza cha Rais Samia

Kiingereza cha Rais Samia

Marekani ishakuwa na wagombea wawili wanawake wa katika nafasi ya umakamu wa Rais kutoka vyama vyao viwili vikubwa kabla ya Kamala.

Hangaya hajui hayo!

Hata Wikipedia huwa hachungulii?
Kilichomfanya azungumze hayo mambo ya wagombea wanawake uko kwenye nchi ya watu ni nini.kwani wao hawajui historia yao.mambo mengine bana.
 
Naomba nitoe ushauri na kuwatoa ushamba ndugu ZANGU kiingereza kwetu ni lugha ya kujifunza sio lugha MAMA na sio kwetu tu Hata KWA mataifa MENGINE makubwa kama china na urusi!!KWA huo hatuwezi kuiongea KWA lafudhi kamili ya wazungu au wamarekani!!kuongea kama wao sio kielelezo Cha u competence KWENYE lugha na utendaji tuachane na huo ushamba mbona hamuwakosoi wachina wanavoongea au warusi mmekomalia waswahili PEKEE!!?Mama ameeleweka na wamarekani wamemwelewa Sana!!! Ni nyie tu mmekosa mantiki!
Ni kweli.
Na ndio maana viongozi wa hizo nchi, huzungumza lugha zao.
Sasa mama, kiingereza hola, kiswahili hola. Hapo ndio tatizo linapoanzia!
 
Hata hapo anasoma lakini utata mtupu.
Ushungi sasa 🤦‍♂️
 
Inasikitisha sana,kujiona kutojua lugha ya nchi nyingine ni ujinga. Mzungu akiongea kiswahili cha kukoroga wanafuarahia ongea wewe
Fikra za kitumwa tu zinawasumbua

Huyu nyani ngabu, mfano akutane na merkel anjela aongee kingereza aone akatachojibiwa kwa lugha gani
Kila mtu lazima athamini lugha yake

Ova
 
Fikra za kitumwa tu zinawasumbua

Huyu nyani ngabu, mfano akutane na merkel anjela aongee kingereza aone akatachojibiwa kwa lugha gani
Kila mtu lazima athamini lugha yake

Ova
Mwambie Hangaya afute Kiingereza mashuleni na maofisini basi.
 
Hoja siyo bora yupi.

Suala la bora yupi ni suala la maoni yako.

Hoja hapa ni Kiingereza cha Hangaya.

Siyo Kiswahili cha Kamala.
Hoja imekuwa nzito kwakoe!!!😁😁😁 We Mbona hujui kiarabu na hatukucheki? Acha ushamba bhana
 
Hoja imekuwa nzito kwakoe!!![emoji16][emoji16][emoji16] We Mbona hujui kiarabu na hatukucheki? Acha ushamba bhana
Hehe ndomana nmemuliza lugha anazozijua

Ova
 
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.

Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.

Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.

Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.

Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.

Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?

Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?

Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?

Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.

Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.

Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.

Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!

Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.

Dah mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania tutaambia Nini watu sasa??


"Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa."
 
Back
Top Bottom