Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #81
Na wewe hujui matumizi ya alama ya kuuliza!!huna hata uwezo wa kujua matumizi ya "gani"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe hujui matumizi ya alama ya kuuliza!!huna hata uwezo wa kujua matumizi ya "gani"?
Sio chadema tena? [emoji1787][emoji1787]Ukae kitako kwa kutulia, zama zenu Sukuma gang zimekwisha.
Mama atakaa madarakani mpaka 2030 mtake msitake.
Mleta uzi yeye yuko fluently kwenye kutema yai mkuuNi vigumu sana kuwa fluent kwenye lugha ambayo huitumii kwenye mawasiliano yako ya kila siku, inakuwa ngumu sana kujenga misamiati ya kutosha ikiwa hiyo lugha huitumii...........na bila misamiati au maneno ya kutosha utaanza kutafutatafuta maneno sahihi na mwishowe unaishia kupata kigugumizi na kupoteza confidence......
Duh!
Sasa wewe na yeye mna tofauti gani?
Hillary Clinton hajawahi kugombea umakamu wa Rais!
I absolutely am!Mleta uzi yeye yuko fluently kwenye kutema yai mkuu
Ova
Hiyo "ilmu" hiyo , kuna watu unawatafuta ubaya!Kizungu atakijua wapi na ilmu yake yakuunga unga
Pata picha Hangaya yuko kwenye mdahalo wa Kiingereza na Lissu 🤣.Nchi ambayo viongozi wanakimbia midahalo kipindi cha chaguzi haya ndio matokeo yake.
Mtangulizi wake kwenye midahalo ndio alikua hataki hata kusikia japo ni ya kiswahili.
Nchi ambayo viongozi wanakimbia midahalo kipindi cha chaguzi haya ndio matokeo yake.
Mtangulizi wake kwenye midahalo ndio alikua hataki hata kusikia japo ni ya kiswahili.
Mada ni lugha kwa viongozi wetu, wewe na sukuma gang, zama zao...Ukae kitako kwa kutulia, zama zenu Sukuma gang zimekwisha.
Mama atakaa madarakani mpaka 2030 mtake msitake.
Syo lazima ujue kingerereza cha moja kwa moja,kikubwa ni kuelewana tuI absolutely am!
Putin, kiongz wa China wao kwenye midahalo wanaongeaga lugha ganiPata picha Hangaya yuko kwenye mdahalo wa Kiingereza na Lissu [emoji1787].
It won’t be fair at all.
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka sio kama najua sema basi tuHapana.
Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.
Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.
Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.
Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.
Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.