Kiingereza cha Rais Samia

Kiingereza cha Rais Samia

Roho mbaya tu, mama kafanya vzuri kabisa.

Ngosha angweza hapo?
 
Kwahiyo Tanzania tunakuwa matajiri kwakua kiongozi wetu kaongea kingereza.

Matatizo yetu hakuna tena.
 
Lazima tuienzi Lughqa yetu adhimu ya Kiswahili......Kizungu ni Lugha yetu ya 2 ya mawasiliano hivyo sio lazima sana kuizungumza kwa ufasaha.
 
Huyo Kamala Haris anakijua Kiswahili?

Je, nalo kwake ni aibu?

Je, Kamala kalalamika kwamba hajamuelewa Samia, au ni mikono inawawasha kuandika ujinga?
 
Kuna watu wanaumia sana Samia akisemwa, akikosolewa!

Magu alisemwa, alikosolewa sana na bado anasemwa na watu mnafurahia.

Mtaumia sana….Samia atasemwa sana tu.
Kazana Sana kumsema, maana ndicho mlichobakiwa nacho.
 
Hilo limama halijui Kizungu. Wanalisifia tu ili kuficha aibu.
 
Hapana.

Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.

Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.

Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.

Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.

Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.

😂 😂 😂 😂 Khaaa!!!
 
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.

Hebu mcheki hapo. Super impressive.

Hasomi popote.



Huyu kasoma Makerere University, University of Edinburg nadhani kidogo amekuwa polished sana kwa lugha.
 
Nyie nyie c ndo mlimsifia alipohutubia umoja wa mataifa na hicho hicho kingereza au imekuwaje tena.?
Kiingereza cha kusoma kutoka kwenye karatasi ni TOFAUTI sana na cha kuongea kutoka kichwani. Hata mimi nikiambiwa nisome wote mtanisifu, ngoma inakuja niwe naulizwa maswali na kutakiwa kujibu kutoka kichwani!!!
 
Back
Top Bottom