Sio Watanzania tu bali Waafrika wachache na wengineo wanaoweza kuongea vizuri lugha za kigeni.Ukiwa haumpendi mtu utatafuta sababu tu....watanzania wachache sana wanaoongea kiingereza kwa ufasaha.
Mwamba unajitahidi sana kumkosoa bimkubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Watanzania tu bali Waafrika wachache na wengineo wanaoweza kuongea vizuri lugha za kigeni.Ukiwa haumpendi mtu utatafuta sababu tu....watanzania wachache sana wanaoongea kiingereza kwa ufasaha.
Mwamba unajitahidi sana kumkosoa bimkubwa.
Ushawahi kusikia kuhusu ADHD??Ni tusi hilo !!
Misemo isiyo na tija!, kaulize kama kilimo sio ajira!!!Kulima sio kufanya kazi? Huu msemo maana yake nini hasa!
Kazana Sana kumsema, maana ndicho mlichobakiwa nacho.Kuna watu wanaumia sana Samia akisemwa, akikosolewa!
Magu alisemwa, alikosolewa sana na bado anasemwa na watu mnafurahia.
Mtaumia sana….Samia atasemwa sana tu.
Anna Rose angefanya vizuri zaidi 😆😆Roho mbaya tu, mama kafanya vzuri kabisa.
Ngosha angweza hapo?
Hapana.
Fluency haihusiani na kusoma vilivyoandikwa.
Ni kwamba hana lafudhi nzito/ nene. Hicho ndicho kinachomfanya aonekane ana afadhali.
Lakini maneno mengi sana yanampa shida kuyatamka.
Hata yale maneno ya kawaida ya hiyo lugha hawezi kuyatamka vizuri.
Ukimwandikia neno kama ‘xylophone’ au ‘discombobulation’, anaweza kupoteza fahamu akijaribu kuyatamka.
😂 😂😂 boda za mchongoNa bodaboda anaendesha?
Bado una bifu na Ngosha!?Roho mbaya tu, mama kafanya vzuri kabisa.
Ngosha angweza hapo?
Maisha ya ajabu sana, mwenye elimu ya kuunga unga ndio rais wa nchi, ila wewe uliye nyooka , ohehaeKizungu atakijua wapi na ilmu yake yakuunga unga
must beHivi unajua hata kiengereza ulichoongea kwa sentensi 2 teyari kina makos???
Mtoa mada uwezo wake mdogo sana.. wa kupambanua vituMwambieni Biden naye aongee Kiswahili, au Putin aongee Kiingereza. Pale Kenya nadhani unajua Kiswahili chao, hatupangwingwi kuongea Kiingereza bana.
Huyu alizaliwa na kukulia Butiama huko.
Hebu mcheki hapo. Super impressive.
Hasomi popote.
Kiingereza cha kusoma kutoka kwenye karatasi ni TOFAUTI sana na cha kuongea kutoka kichwani. Hata mimi nikiambiwa nisome wote mtanisifu, ngoma inakuja niwe naulizwa maswali na kutakiwa kujibu kutoka kichwani!!!Nyie nyie c ndo mlimsifia alipohutubia umoja wa mataifa na hicho hicho kingereza au imekuwaje tena.?