Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

Pelekeni kitabu cha bulicheka huko ulaya muone kitakacho watokea.

Sasa kama wanajua kitabu hakieleweki walikileta cha nini kama sio kuja kutaka ku corrupt Watoto?
 
Kitabu chenyewe nimekikopi hikihapa wataalamu wa kudadavua je kuna code zozote zimefichwa humu?

THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP

There once was a man
That was pretty old
Who did silly things and
Who couldn't be told.

When I asked
About his age,
He smiled and said,
"Have you seen me on stage?"
He took me into town,
And right then and there,
He hopped on a mic
And sang along with cher.

There was the time
He took me to pride.
He wore a pink dress;
All his hair he dyed.

Then there was
That halloween
He put on makeup
And went as a queen.

I asked him once
If he'd ever retire
"Do i look like milk
With a date to expire?"

"Flip me over
Check out my feet,
A ring for each year.
I age like a treat."
Kama haya ndiyo yaliyoandikwa basi niwaombe radhi
 
Ajabu ni kwamba wazungu hao hao ndio hutoa mabilioni ya misaada kusaidia elimu ya Tanzania kila mwaka
Free your mind ndugu.

Kwa hiyo wewe jirani yako akiwa anatoa chumvi kwa mkeo, halafu aje aseme anataka kuona kama mkeo chumvi imekolea kwa kwenda chumvini utamkubalia? At kwa sababu huwa anatoa msaada wa chumvi.

Nimefikiria tu kwa nguvu.
 
Umetumwa?

Usituone tunaandika JobTrueTrue ukadhani tumeishia la 7.

KAMA UNA-AGENDA ZAKO WE KUWA MUWAZI TU ACHA KUKOSOA MAMBO AMBAYO YANA ATHARI KWA JAMII.
Mkuu chini hapo mbona haujaweka signature yako ya job true true? Itakuwa umechukizwa kweli na uzi.
 
Kama mwanaume( babu) kupaka lipstick hukuona kama tatizo mdio Tatizo lenyewe
 
Free your mind ndugu.

Kwa hiyo wewe jirani yako akiwa anatoa chumvi kwa mkeo, halafu aje aseme anataka kuona kama mkeo chumvi imekolea kwa kwenda chumvini utamkubalia? At kwa sababu huwa anatoa msaada wa chumvi.

Nimefikiria tu kwa nguvu.
Hakuna cha buree mjinii, km una uwezo si utafute wee mwenyewe.
 
Ugonjwa unaanzia hapa

Kuajili waliojua kusoma na kuandika (kidato Cha 4 au la 12(12-1 darasa la awali)

Wakati kingereza pamoja ni lugha yamawasiliano kwawezetu hasa england(UK) hatawao wapo wasiojua kabisa

Kwahiyo ,kingereza kinamisingi yake yakukijua ,sembuse Hawa watumishi wetu

Nchi inawatumishi laki 6 ,wanaojua kingereza yawezekana wakawa 2000

Na kati yahao muda huo eneo Hilo hawakuwepo ,waliokuwepo ndohao waliozuia baada ya wanaojua kutambua uhovyo ,imekuwa kinyume chake

Msiwahusishe akina TLS na wajumbe wao
 
Kwenye kill kitabu sio suala la kiingereza tu bali kufichwa kwa lengo hata kama kingendikwa kwa kiswahili ni mpaka update mtu anayechambua mambo ndio ajue kuna ushoga.

Mfano PRIDE ni Event ya mahogany lakini kwenye luggage ya kiingereza sidhani kama neno Rasmi kuwa Events fulani bali tunajua kama kutendo cha kuji proud.

Dyed: tunajua kupaka rangi nywele tu je kilamtu anajua kuwa mahogany wanapaka rangi nywele wakiwa kwenye PRIDE nawakati hata PRIDE pia hujui ni nini.

Makeup as Queen in Hallowen: hapa pia mpaka uwone juu kazungumzi PRIDE na chini kava kama malikia ndio uunge Dots ila hivihivi unaweza sema si sherehe za Hallowen tu.

So kitabu suala la uchambuzi zaidi sio lugha.
 
kwahyo mkuu kwa utaalamu wako kweli kina mambo ya ushoga?
 
Ndo mana nimesema unakuwa na kundi linalojua kusoma na kuandika ....nimezingatia nikundi haliwezi chambua mambo
 
Yaani kwa kusoma pages 2-3 kupitia videos tayari umefanya hitimisho. Ficha upumbavu broooo! Wale watu sio wehu
Mpaka sasa naona kitabu kitabu, kitabu kitabu mbona hakuna anayekariri kilichomo ndani ya kitabu! Hebu wekeni kilichomo ndani ya kitabu ili tuhitimishe mjadala.
 
kwahyo mkuu kwa utaalamu wako kweli kina mambo ya ushoga?
Screenshot_20240131-235546_Chrome.jpg
Screenshot_20240131-235521_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom