Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mpuuzi kweli kweli wewe, kwa hiyo makonda hana vyeti vya kufoji? Daud Bashite ni nani?
Angekuwa anajibu maswali kwa kiswahili chenye mseto wa maneno ya kiingereza.hukuona ile yake na mu-7 akataka kumpiga mwandishi wa habari?
Hivi angeenda HARD TALK pale BBC nahisi TCRA wangezima mawasiliano hiyo siku.
Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Wewe nae mlamba viatu wakubwa , hujitambuiPamoja na hayo, lakini unajisikiaje kumuanzishia mada raisi wako na kumdhalilisha ivyo! Au ndio furaha kwako!
Ndio maana nchi jirani wanawadharau.
Let us be serious, hivi RAS SIMBA hawez m-brush jamaa?Angekuwa anajibu maswali kwa kiswahili chenye mseto wa maneno ya kiingereza.
Umri umeshamtupa mkonoLet us be serious, hivi RAS SIMBA hawez m-brush jamaa?
dah, okay tubaki kwenye maombi, Mungu anabadilisha.Umri umeshamtupa mkono
Halafu anatabia ya ubishi
Sio rahisi kumbadilisha.
We Bashite una nini lakini? Hizo sifa zako FAKE inamaana Wajumbe huko Kigamboni hawakuziona eti?Hatuangalii cha certificate wala nini, hapa tunachoangalia utendaji wake wa kazi jamaa alikua anajituma sana, na alikuwa msaada kwa wagonjwa, walemavu n.k. ebu niambie wa kabla yake nani aliefanya hayo??
Si ajabu wewe ni chaggadema,,,na uraisi mtausikia tu.
Hizo ndio kazi za mkuu wa Mkoa?Hatuangalii cha certificate wala nini, hapa tunachoangalia utendaji wake wa kazi jamaa alikua anajituma sana, na alikuwa msaada kwa wagonjwa, walemavu n.k. ebu niambie wa kabla yake nani aliefanya hayo??
Si ajabu wewe ni chaggadema,,,na uraisi mtausikia tu.
Ina maana hata mdahalo na Steve Sucker wa HARD TALK mgombea wa CCM hatakwenda?Maccm yote yako hivo... ......
Huyu hata ufanye nn hawezi kukubali mdahalo na Tundu liasu
Njaa mbaya sn.... 🤣🤣Halafu Prof Kabudi anapiga makosi pwa pwa pwa!
Asee Njaaa mbayaaaaaaaaa
Mtu kaokotwa jalalani unataka afanyeje?Halafu Prof Kabudi anapiga makosi pwa pwa pwa!
Asee Njaaa mbayaaaaaaaaa
Inteligensia watamkataza km wanavyofanya mara zoteIna maana hata mdahalo na Steve Sucker wa HARD TALK mgombea wa CCM hatakwenda?
Acha matusi na ushamba we mbwa..... Kwani Malawi ni kwa wazungu?We mwanamke unayebleed every 28 days shut up ypur mouth yani katika maneno yote aliyoongea correctly umeona tu every body have?
Kwanza gramatically yupo sahihi tatizo lako umekariri lugha !
Hivi wazungu wakija kwetu huwa wanaongea kiswahili sanifu?
Waabongo wengi mko kama mna umtindio wa ubongo, sijui mliambiwaga na nani kua kingereza ndiyo uungu huku duniani,wanaoomgea hicho kingereza bado hawawezi kuongoza nchi kwa kiwango chake,sasa hiyo lugha ya washenzi inasaidia nini hapa Afrika? Nyie ndo wale ambaokipeleka watoto shule hizo wakiongea lugha ya kigeni mnaamini wako vizuri na kujisifia mitaani kua mtoto wako anaongea kingereza na mwisho wa siku toto linaishia kua lishogaJamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Wewe ndo uko hivo sio watz..... Mi najiuliza tu wkt wenzake wanajifunza kiingereza yeye alikua anafanya nini??Wamalawi wanajua watanzania ndo tuko hivo kama unadhani kaabika rais mwenyewe you are wrong! wewe pia umeaibika!
Kajambe huko mliambiwa mkimbie kweshen tags!Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!