Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.

Hawa ni chadema mkuu, hususani hukoo kaskazini. Kazi yao kubwa ni kukosoa tu,, na ndio maana hakujawahi tokea raisi kwenye ukanda wao.
 
Acha kurushia keyboard mate..
Hajui Kiingereza.
SAWA WEWE UNAYEJUA KIINGEREZA UMEMZIDI NINI WAKATI HATA UMONITA NYUMBANI KWAKO HUNA LAKINI YEYE NI RAIS NA DUNIA INAMTAMBUA KULIKO WEWE MBURUKENGE HATA MTAANI KWENU TU UKITAJWA JINA WANAANZA KUULIZANA HUYU NDIYE NANI ZAIDI YA YOTE MAGUFULI SIYO RAIS WA WAINGEREZA TULIZA MSHONO NA ULIMBUKENI WAKO
 


Tatizo watanzania wengi ushamba umewazidi mkuu. Wanafikiri kujua kiingereza ndio kufaulu maisha 😁😁
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wewe ndo uko hivo sio watz..... Mi najiuliza tu wkt wenzake wanajifunza kiingereza yeye alikua anafanya nini??

Hii aibu wakenya wakisikia si itakua balaa[emoji3][emoji3]
Aiseee
 
Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Sa kwanini tunatumia kingereza kwenye shughuli zetu nyingi za kibiashara zinazotuletea maendeleo kama vile banks and school
 
Labda rais wa chato...... Lkn Rais wa jmt ni TUNDU Lissu

Huyo mnyaturu namkubali sana, ila kwa chaggadema asahau uraisi wa jmt. I wish aende ccm tu, chaggadema anapoteza muda.

Kinachonikera wanachadema ni Udini + Ukabila, na itawacost sana.
 
Huyo mnyaturu namkubali sana, ila kwa chaggadema asahau uraisi wa jmt. I wish aende ccm tu, chaggadema anapoteza muda.

Kinachonikera wanachadema ni Udini + Ukabila, na itawacost sana.
We mbwa unamjua Sheikh Ponda.....???

Kwa Maneno chadema ni wadini lkn kwa vitendo serikali ya magufuli waislamu ni 15% ya viongozi wote huku wakristu ni 85%....... Mnaacha kushughulikia udini wa ccm mnahangaika na chadema kweli ccm hakuna mtu mwenye akili timamu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…