Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
we una angalia kingereza embu angalia alichoenda kukifanya kule malawi kina faida sana kwa taifa ndugu,.... swala la upanuzi wa bandari ya mtwara litaleta ajira kwa vijanaaa, miji kama ya nyasa itachangamka sanaa kibiashara,... ujenzi wa HEP project ni faida pia kwa taifa ..kingereza sio issue bro ata putin hajui english
Nawe hukijui shame on you ndio nini😛😛😛😛..... kiddingShame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Wewe Muuza tako pale kona barJamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Aiseee!Vipi hajasema huko "Pipo uzid tu dai in ze reeeeeeki"
Nilitalajia ungemjibu muulizaji pale aliposema Everyone inamaana gani kisha ndipo ukakosoa na sio kwa huu mfumo ulioutumia.Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
We mwanamke unayebleed every 28 days shut up ypur mouth yani katika maneno yote aliyoongea correctly umeona tu every body have?Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Halafu Prof Kabudi anapiga makosi pwa pwa pwa!
Asee Njaaa mbayaaaaaaaaa
Hahaha...To wek tugeza ez bradhaz endi sisitaz!!!
Huyu mtu anatuaibisha!
Ili mradi, contents is DELIVERED!Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Wazungu wakiongea broken kiswahili mnawapongeza mswahili akiongea broken english mnamnanga! Typical africans!Si awe anaongea kiswahili tu. Mimi sijui kiingereza ndo maana napiga kiswahili tu hapa.
Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
Acha basi!Hahahahhhahah. Onle work.
Makosi ni nini ?Halafu Prof Kabudi anapiga makosi pwa pwa pwa!
Asee Njaaa mbayaaaaaaaaa