Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Kiingereza ni majanga kwa Rais wetu

Status
Not open for further replies.
Puttin amefundishwa kwa Kiingereza kwa miaka 17 kama magu ?
Acha ukilaza wewe.
we una angalia kingereza embu angalia alichoenda kukifanya kule malawi kina faida sana kwa taifa ndugu,.... swala la upanuzi wa bandari ya mtwara litaleta ajira kwa vijanaaa, miji kama ya nyasa itachangamka sanaa kibiashara,... ujenzi wa HEP project ni faida pia kwa taifa ..kingereza sio issue bro ata putin hajui english
 
Kama alichoongea kimeeleweka, hakuna shida.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Shame on you!Majanga kitu gani! lengo lako kumdhalilisha rais wetu toka hapa wewe unajua kiingereza!.Maendeleo hayaletwi na kiingereza!
Nilitalajia ungemjibu muulizaji pale aliposema Everyone inamaana gani kisha ndipo ukakosoa na sio kwa huu mfumo ulioutumia.
Hoja hujibiwa kwa hoja
 
Jamani Rais wetu bora aongee kiswahili tu. Everyone have ndo nini?
We mwanamke unayebleed every 28 days shut up ypur mouth yani katika maneno yote aliyoongea correctly umeona tu every body have?

Kwanza gramatically yupo sahihi tatizo lako umekariri lugha !
Hivi wazungu wakija kwetu huwa wanaongea kiswahili sanifu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom