Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

Kama ni kweli itakuwa balaa.ina maana mwaka huu hawatanunulia watu tisheti na kofia?oooh na kanga.itakuwaje?au kuna fungu limetengwa kwa ajili hiyo.angalieni chama kitakosa ushindi october
 
Kama ni kweli itakuwa balaa.ina maana mwaka huu hawatanunulia watu tisheti na kofia?oooh na kanga.itakuwaje?au kuna fungu limetengwa kwa ajili hiyo.angalieni chama kitakosa ushindi october
 

Huu ni wizi wa mchana kweupe, anaechukua haya mafao alitakiwa kuwa yule ambae harudi tena mjengoni.
 

KUNA JAMAA YANGU MB-CCM KAVUTA MKOPO WA NGUVU KWENYE TAASISI MOJA YA BENK AKITEGEMEA KIINUA KIUNO CHAKE KIKITOKA ATASAWAZISHA.. KANIJULISHA KUWA KWAHILI ANAWEZA KUINAMISHWA AKIFANYA MASKHARA HIVYO AMESEMA ATAJILIPUA MJENGONI ILI KAMA MBWAI NA IWE MBWAI😛oa
 
Hivi wamefanya nini mpaka walipwee ..ahadi nyingi walizotoa bado hazijakamilika😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Sasa itakuwaje kwa CHADEMA maana walikuwa wameshapanga kuwa zitawasaidia kwenye kampeni za uchaguzi. hata tukiziacha ccm watazichukua- By LISSU
 
kishushwe maana ni wizi wa kodi zetu tena wa wazi kabisa, bora wangefanya kimya kimya tusijue
 
ndiyo hivyo. Imekula kwao hiyo...
Bado haijala kwao, kazi ya miaka 5, mshahara mnono, posho nono, viti maalum vinono, halafu unalipwa mil 130 unaona wameliwa? Hizo bado ni nyingi sana.
cc. waalim, maaskari, madaktari.
 
Hawana ubavu Wa kuwanyima posho iko kisheria wataitolea mahakamani
CAG kasema 130m ndo ipo kisheria, zile nyingine zilikuwa za rushwa ili wapitishe muswada wa gesi na mafuta. Nasikia kafulila alizinyaka nyepesi nyepesi akaahidi kuipeleka serikali mahakamani ili apate kick toka mashirika ya kimataifa. Jamaa kashtuka.
 
Mramba huko segerea inawezekana kapumzishwa tu
Usiombe hata kupumzishwa tuu kule segerea. Kuna nyakati ngumu hebu fikiria wakati unakunya kwenye debe halafu yona anamwangalia. hakuna toilet paper, halafu ukamwage! Usafishe ndoo> Ni balaa.
 
I hear president @jmkikwete has reinstated the old proposed rates of gratuity in total disregard of the law on political leaders retirement -zitto kabwe leo kwenye twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…