mr mapenzi
Member
- Aug 30, 2013
- 77
- 35
Harudi mtu bungeni Kama ndio janja yenu,kiinua mgongo kwa ukawa kioo pale pale.
Lema ataandamana sana hatokubali kuicheza kete yake ya mwisho
Wabunge wa UKAWA wamenyimwa kabisa
Duuh hii habari ni pigo kwa wabunge wa CCM.
Mod Thread kama hizi ni za kufuta tunamaliza bundle kufungua upuuzi.
Hii ni kweli CAG amependekeza walipwe millioni 130 na siyo 238 walizotaka. kuna dalili wabunge wa ccm kugomea nao hiyo kesho hotuba ya mwenyekiti wao
ndiyo hivyo. Imekula kwao hiyo...Kwa maana nyepesi ni kuwa wabunge wa ccm wapo zaidi ki maslahi?
Safi sana kama ni kweli.
Kwenye mnuso CCM na upinzani huwa kitu kimoja wote walikuwa wameshaandaa michanganuo namna ya kuiteketeza.
Habari hii ni mbaya sana kwa wabunge wote.
Hii habari ni msiba mzito kwa Tundu Lissu alishaipigia hesabu hii pesa mpaka akakiri kuwa ubunge umemtia umasikini.