Kijana acha kujiita jobless, chukua hii achana na ubishoo

Nitafanya hivyo siku nyingine, asante sana.
Karibu ukiwa unataka kujua kitu niambie mm nitapika nitakiweka hapa next time nataka kutengeneza bisi nikipata nafasi nitaenda mjini weekend
 
Karibu ukiwa unataka kujua kitu niambie mm nitapika nitakiweka hapa next time nataka kutengeneza bisi nikipata nafasi nitaenda mjini weekend
Huwa natengeneza bisi ila zingine huwa zinabaki chini bila kupop up, natumaini utaniongezea ujuzi.

Naomba ulete uzi wa kutengeneza bagia za dengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…