Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Ngoja nisubiri pia nione
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blessed mkuuWa ngano
Vijana wa chuo uzi kama hizi ndio hawataki hata kuzisikia kabisaKijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu
Mahitaji karanga, mayai,siagi/blueband,sukari na chumvi
Kwanza changanya blueband na sukari
View attachment 3231910
Kisha chukua mayai nayo changanya vizur mimi nilitumia mayai 2
View attachment 3231911
Baada ya hapo weka unga kidogo kweny karanga af uwe unachanganya polepole
View attachment 3231913
Baada ya hapo weka ule mchanganyiko wako wa mayai pole pole kidogo kidogo na ukologe
View attachment 3231914
Ukiona karanga na unga zimeanza kukaa pamoja malizia mchanganyiko wako kuweka wote
View attachment 3231916
Kisha weka kwenye mafuta ambayo yamepata moto polepole kwa wewe ambae sio mzoefu kuepuka karanga zako kuungua ukisikia zinaanza kulia pa pa jua teyari geuza geuza ili ziwe na rangi moja kisha toa
View attachment 3231918
Kisha weka kwenye chombo kikavu na zipoe vizuri
View attachment 3231919
Kwakua wewe unataka kuuza tafuta vifungashio vile vya kishua weka nenda nazo pale St peter wanapo uza maua ukiona mtu kasimamisha gari ana chagua mau nenda na karanga zako pale muoneshe uza ata 1500 kwasababu karanga yako imeenda shule watanunua na utaona kama kuna shida ya ajira au
Mimi pia nimesoma ila ubishoo nileweka pembeni nipo hapa kwasababu ya upishi tu elimu yangu nilio somea natumia mala chache sana wakati wenzangu wanaonyesha vyeti vya elimu mimi nilishow kipaji basi
Watu walipelekwa zahanati wengine ofisi kuu ila mm nilishow kipaji na baadae walikuja kujua kuwa na elimu baada ya kutokea mgonjwa alie poteza kumbu kumbu kumbe kuna mtu alisema yeye kasomea psychology kumbe sio kweli alisomea kwa upande wa elimu
Pale nika waonyesha vyeti nikamtibu yule kama huduma ya kwanza baada ya wiki nikatoa wazo apelekwe lugalo kwa matibabu zaidi
Nini nataka kusema acheni aibu mimi wakati nafanya iki kitu wengi walikebehi na kuniambia kazi za kike ila leo Mungu kaniona kwanafasi yangu 🤲
Za dukani boss ukipata mbegu fupi ni mzuri sana zunaitwa serena kama sikoseiHapa karanga ni zile mbichi kutoka dukani au zilizokaangwa?
KaribuBlessed mkuu
Wanataka connection ya kuvaa sutiVijana wa chuo uzi kama hizi ndio hawataki hata kuzisikia kabisa
Tuwainue mkuu 🙌Ngoja nimwoshenye baby mama awe ananipikia na mimi staki kuchangia hao jobless wanadharau sana.
Maneno meeengi na kujipamba kumbe chuo chenyewe ustawi wa jamiiKijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu
Mahitaji karanga, mayai,siagi/blueband,sukari na chumvi
Kwanza changanya blueband na sukari
View attachment 3231910
Kisha chukua mayai nayo changanya vizur mimi nilitumia mayai 2
View attachment 3231911
Baada ya hapo weka unga kidogo kweny karanga af uwe unachanganya polepole
View attachment 3231913
Baada ya hapo weka ule mchanganyiko wako wa mayai pole pole kidogo kidogo na ukologe
View attachment 3231914
Ukiona karanga na unga zimeanza kukaa pamoja malizia mchanganyiko wako kuweka wote
View attachment 3231916
Kisha weka kwenye mafuta ambayo yamepata moto polepole kwa wewe ambae sio mzoefu kuepuka karanga zako kuungua ukisikia zinaanza kulia pa pa jua teyari geuza geuza ili ziwe na rangi moja kisha toa
View attachment 3231918
Kisha weka kwenye chombo kikavu na zipoe vizuri
View attachment 3231919
Kwakua wewe unataka kuuza tafuta vifungashio vile vya kishua weka nenda nazo pale St peter wanapo uza maua ukiona mtu kasimamisha gari ana chagua mau nenda na karanga zako pale muoneshe uza ata 1500 kwasababu karanga yako imeenda shule watanunua na utaona kama kuna shida ya ajira au
Mimi pia nimesoma ila ubishoo nileweka pembeni nipo hapa kwasababu ya upishi tu elimu yangu nilio somea natumia mala chache sana wakati wenzangu wanaonyesha vyeti vya elimu mimi nilishow kipaji basi
Watu walipelekwa zahanati wengine ofisi kuu ila mm nilishow kipaji na baadae walikuja kujua kuwa na elimu baada ya kutokea mgonjwa alie poteza kumbu kumbu kumbe kuna mtu alisema yeye kasomea psychology kumbe sio kweli alisomea kwa upande wa elimu
Pale nika waonyesha vyeti nikamtibu yule kama huduma ya kwanza baada ya wiki nikatoa wazo apelekwe lugalo kwa matibabu zaidi
Nini nataka kusema acheni aibu mimi wakati nafanya iki kitu wengi walikebehi na kuniambia kazi za kike ila leo Mungu kaniona kwanafasi yangu 🤲
Duuh ustawi kwani Ina tatizo gani mkuu....Maneno meeengi na kujipamba kumbe chuo chenyewe ustawi wa jamii
Na akimaliza kufanya hiyo mchana usiku akawe mlinzi ajiongezee kipatoKijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu
Mahitaji karanga, mayai,siagi/blueband,sukari na chumvi
Kwanza changanya blueband na sukari
View attachment 3231910
Kisha chukua mayai nayo changanya vizur mimi nilitumia mayai 2
View attachment 3231911
Baada ya hapo weka unga kidogo kweny karanga af uwe unachanganya polepole
View attachment 3231913
Baada ya hapo weka ule mchanganyiko wako wa mayai pole pole kidogo kidogo na ukologe
View attachment 3231914
Ukiona karanga na unga zimeanza kukaa pamoja malizia mchanganyiko wako kuweka wote
View attachment 3231916
Kisha weka kwenye mafuta ambayo yamepata moto polepole kwa wewe ambae sio mzoefu kuepuka karanga zako kuungua ukisikia zinaanza kulia pa pa jua teyari geuza geuza ili ziwe na rangi moja kisha toa
View attachment 3231918
Kisha weka kwenye chombo kikavu na zipoe vizuri
View attachment 3231919
Kwakua wewe unataka kuuza tafuta vifungashio vile vya kishua weka nenda nazo pale St peter wanapo uza maua ukiona mtu kasimamisha gari ana chagua mau nenda na karanga zako pale muoneshe uza ata 1500 kwasababu karanga yako imeenda shule watanunua na utaona kama kuna shida ya ajira au
Mimi pia nimesoma ila ubishoo nileweka pembeni nipo hapa kwasababu ya upishi tu elimu yangu nilio somea natumia mala chache sana wakati wenzangu wanaonyesha vyeti vya elimu mimi nilishow kipaji basi
Watu walipelekwa zahanati wengine ofisi kuu ila mm nilishow kipaji na baadae walikuja kujua kuwa na elimu baada ya kutokea mgonjwa alie poteza kumbu kumbu kumbe kuna mtu alisema yeye kasomea psychology kumbe sio kweli alisomea kwa upande wa elimu
Pale nika waonyesha vyeti nikamtibu yule kama huduma ya kwanza baada ya wiki nikatoa wazo apelekwe lugalo kwa matibabu zaidi
Nini nataka kusema acheni aibu mimi wakati nafanya iki kitu wengi walikebehi na kuniambia kazi za kike ila leo Mungu kaniona kwanafasi yangu 🤲
SijuiDuuh ustawi kwani Ina tatizo gani mkuu....
Shida chuo au kozi?Maneno meeengi na kujipamba kumbe chuo chenyewe ustawi wa jamii
Over dozi 😂Na akimaliza kufanya hiyo mchana usiku akawe mlinzi ajiongezee kipato
Kozi gani ya maana hapo, kuwa seriousShida chuo au kozi?
Kwako sio ya maana kwasababu sio kitu ukipendachaKozi gani ya maana hapo, kuwa serious
Unajua kuzoom siku uje upige picha na punda milia wapo wengi jioniYule ni swala au digidigi [emoji3][emoji3]
Ukweli mchungu, poleeKwako sio ya maana kwasababu sio kitu ukipendacha