Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

Miaka 39 bado hajitambui kiasi hicho? Nahisi ni suala la elimu duni kutofahamu nini kisemwe na wapi.
 
1575443594381.jpeg
 
Coaster2015,
Unadiriki kusema quote "ALIKUA ANAFANYA UTANI KUSEMA ATAMUUA RAIS" wewe ni mtetezi wake ??, kitu gani kimekuongoza hadi ku hitimisha kua alikua anafanya utani ilhali yeye mhusika amwkiri mahakamani ? Usijitoe ufahamu ndugu issues zinazongusa Rasi ni nyeti kuliko unavyofikiri, na unadiriki kusema ”SIJAONA KOSA LA KUMFANYA AFUNGWE MIAKA MIWILI" Unajua sheria zinasemaje kwa mtu anaetishia kuua ?
 
Ni bora utishie kumuua Mungu utapona, lakini usijaribu kutishia kumuua John, hata ukiota ndoto tu kuwa John amekufa kaa kimya kabisa wakikusikia kuwa umeota ndoto Kama hiyo ujuwe utaishia gereza la Kisongo, Kama kuna mtu anabisha akamuulize Lema
Tena asijaribu kutishia kumua John hata kama ni yule Faru wa Serengeti
 
Wauza magezeti, vijiwe vya kahawa, stendi, viwanjani, asee hizo sehemu ni kuwa makini na mdomo wako sana sana tuu, sivyo utaishia jela
 
moja ya maeneo ambayo huwa sipendi kuzoeana au kusogea ni maeneo ya stend,sokoni,vijiwe vya kahawa,wapiga viatu kiwi,na wauza magazeti,kwani maeneo hayo wazee wa kazi wako wa kutosha mno
 
Back
Top Bottom