Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Itabidi niwe makini nikiwa nasoma vichwa vya habari vya magazeti,maana huwa kunakuwaga na kaubishani flani hivi ka hoja kutokana na habari zilivyoandikwa.Ni vema kusoma alama za nyakati, huu si wakati wa kufanya masihara.
Sema Mara nyingi huwa nabishanaga kuhusu kabumbu hivyo sijawahi kuathirika[emoji4]