Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

unajuaje alikuwa anafanya masihara?

usifuatishe vichwa vya habari vya magazeti uozo yetu haya

masihara ni utetezi wake kizimbani, ambao mahakama imeukataa...

Na wewe unaona kuwa kuna uwezekano alikuwa kweli ana nia ya kumuua? Awe na nia ya kumuua halafu atangaze hadharani?
 
Sijaelewa yaan John huyu huyu au mwingine hebu ongeeni polepele mtamponza mwenzenu
 
Vp kuhusu yule aliyetishia kumuua lisu?
 
Hivi kutania na kutishia tofauti yake ni nini? Hasa kwa vitu serious kama kutoa uhai wa mtu............ kuna kutania kutoa uhai?? sio tu wa rais bali hata mtu wa kawaida.
 
Ukifahamu mipaka ya matendo yako utaepuka madhira mengi sana.
 
Papaa Mobimba,
Televised address Cyprian Msiba amesema wazi wazi Lissu akirudi atampiga risasi afe na safari hatakosea shabaha! kipi kimechuliwa??? Spare me with rubbish
 
Yes, umenena vema na huu ndio ukweli, kutishia kuua ni kosa haijalishi umemtishia nani. Lkn pia mtu kutishia kumuua Rais halafu unapowekwa kwenye mkono wa sheria ndio unasema nilikuwa natania sio sawa. Vipi mkipuuzia huo utana na akafanikiwa kufanya anachokiita utani, nani atalaumiwa hapo.
 
Televised address Cyprian Msiba amesema wazi wazi Lissu akirudi atampiga risasi afe na safari hatakosea shabaha! kipi kimechuliwa??? Spare me with rubbish
Nani alimfungulia mashtaka hata hatua ichukuliwe? Lissu akashtaki na atashinda maana mashahidi wako wengi.
 
Huyu katishia tu kwa maneno ..

Vipi wale waliokuwa wanamfatilia Lissu ,na hatimaye kumshambulia kwa risasi mchana kweupe, walishapatikana na kuhukumiwa...?
 
Naona mahakama imeongeza kasi katika kutoa maamuzi mapema
 
Duuuh mdomo ukiruhusu kinywa kila Ki2 kitamke kuna madhara Sana
 
Ile kamati ya ufundi iliyohusika pale ruangwa yenyewe haipatikani na adhabu kama hizi?
 
Kwa hiyo alimaanisha kumuua rais au ukweli unaoufahamu wewe ni upi?

Vyovyote iwavyo point yangu ni kuwa watu wausome utawala uliopo na kujua waende nao vipi.
nenda Heathrow aiport tishia una bomu halafu waambie natania uone kiama chake
 
Hata kama kuna uhuru hii si sawa kutishia kumuua mtu YEYOTE yule si sahihi hata kidogo. Sijui hata kama huko majuu wanafanya haya
"Joke or not, these types of comments are felonies under the law," the sheriff's office said in a statement Monday. "After the mass violence we've seen in Florida and across the country, law enforcement officers have a responsibility to investigate and charge those who choose to make these types of threatening statements."

The Volusia County Sheriff's Office arrested 18 students during the 2018-2019 school year for threatening to shoot up their schools, according to Laura Williams, the sheriff's spokeswoman.

Body-camera footage released by the sheriff's office shows the moment deputies handcuff the teen outside his home last week. His mother can be heard telling authorities that she understands threats cannot be taken lightly.
"But," she says, "he's just a little kid playing a video game."
 
Papa John Paul 11 alifyatuliwa risasi mwaka 1981na raia wa Uturuki Mehmet Ali Agca katika jaribio la mahuaji kwenye viwanja vya St.Peters Basilica.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…