Kijana ajinyonga baada ya kuliwa kwenye kamari

Kijana ajinyonga baada ya kuliwa kwenye kamari

Je, haukuona alama ya kuuliza mwishoni kwenye hiyo comment yangu ya hapo juu? Rudia tena kusoma vizuri hiyo comment yangu
Hata mimi kuna alama ya kukuuliza. Umeukiza kama kajinyonga au kanyongwa, umejibiwa kajinyonga ukawa na doubt ukauliza uhakika.
Nami nimekuuliza kama uba doubt na jibu ulilopewa, je una uthibitisho na otherwise.
 
Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake.

Chanzo: EATVSAA1

Tafadhali sana cheza kwa kiasi. Cheza kiwango ambacho unaweza kuhimili ukipoteza. Jua niwakati gani wa kuacha kucheza.
RIP
 
Atakuwa alikuwa na matatizo mengine mpaka kupelekea mauti. Worst case of depression
 
Vijana wa namna hii ni mzigo kwa taifa na familia.
Unaanza vipi kujinyonga wakati kabisa unajua una mkee na mtoto mdogo wa miezi minne.
 
Back
Top Bottom