T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hata mimi kuna alama ya kukuuliza. Umeukiza kama kajinyonga au kanyongwa, umejibiwa kajinyonga ukawa na doubt ukauliza uhakika.Je, haukuona alama ya kuuliza mwishoni kwenye hiyo comment yangu ya hapo juu? Rudia tena kusoma vizuri hiyo comment yangu
Nami nimekuuliza kama uba doubt na jibu ulilopewa, je una uthibitisho na otherwise.