Kijana alawitiwa na kuchomwa kisu kisha kutupwa nje ya nyumba za watu maeneo ya Ubungo Msewe

Kijana alawitiwa na kuchomwa kisu kisha kutupwa nje ya nyumba za watu maeneo ya Ubungo Msewe

Mwana kulitafuta, mwana kulipata!
Kuna siku nimeshuka jijini mbeya saa nane usiku,maeneo ya Kabwe,nikaenda Isanga huko nikapotea mtaa nyumba zimejaa mno,nikaona nirudi kwa Mfekemo hoteli,kabla ya kufika nikakatisha mitaa ya kati na kibegi,wasela wanakatiza kila kona,nikasema Leo Kuna jambo kufika kila njia boda siwaamini,kufika Makungulu migambo wakanipeleka kwa Mfekemo,it was tough day.
 
kijana miaka 16 /17 una kawaida ya kulewa?????
Hizi Sungura zitatumalizia vijana!!!!

Kumekua na wimbi kubwa sana la vijana kiacha shule wanakimbilia udereva bajaj/pikpiki
miaka kwanzia 15 Bangi wao Sungura wao! Halafu wanajiona wamekua mnoo hayo ni moja wapo ya madhara jamani hiki kizazi sijui chaenda wapi
 
Tulisoma au kuambiwa kwamba Mungu alimtupa SHETANI duniani kutoka bustan ya Eden, sisi binadamu tulifikaje huku duniani kama sisi sio shetani mwenyewe.
Soon tutatupwa nje ya dunia.
 
...."Ni kawaida kwa kijana huyo akilewa hupiga kelele"....au watu walichoka na makelele yake wakampa hiyo adhabu ya kifedhuli?...Pole sana kijana..
 

Dar es salaam, leo 26 July kuna kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 16 hadi 17 (jina linahifadhiwa) maeneo ya Ubungo Msewe amepatikana nje ya nyumba akiwa amejilaza huku akivuja damu nyingi sana maeneo yake ya siri yaani sehemu ya haja kubwa chanzo kikidaiwa ni kulawitiwa na wanaume wenzake kisha kuchomwa kisu na kutelekezwa barabarani.

Bibi Asha ambae ni mkazi wa eneo hilo ameeleza kuwa alishtushwa na kelele usiku wa saa 8 za kijana huyo akiomba msaada kuwa wamsaidie maana anakufa, ameeleza kuwa hiyo ni tabia ya kijana huyo akishalewa hupiga kelele ila jana ilikuwa tofauti.

Waziri Dkt. Gwajima D tafadhali fuatilia suala hili, tunaweza kumpoteza kijana huyu.


Hizi ni baadhi ya picha za kijana huyo akiwa mahututi lakini hakuna polisi aliyejitokeza hata baada ya kupigiwa simu.
Bibi Asha ambae ni mkazi wa eneo hilo ameeleza kuwa alishtushwa na kelele usiku wa saa 8 za kijana huyo akiomba msaada kuwa wamsaidie maana anakufa, ameeleza kuwa hiyo ni tabia ya kijana huyo akishalewa hupiga kelele ila jana ilikuwa tofauti.😳🤔🙇🏿‍♂
 
Back
Top Bottom