Kijana alawitiwa na kuchomwa kisu kisha kutupwa nje ya nyumba za watu maeneo ya Ubungo Msewe

Kijana alawitiwa na kuchomwa kisu kisha kutupwa nje ya nyumba za watu maeneo ya Ubungo Msewe

Binadamu wamekuwa waovu sana. Shetani asipokaa rada binadamu watampindua.
Well binadamu ni waovu lakini yapo matukio humpata mtu kwa sababu aliingia kwenye radar za watu.

Haiwezekani from no where mtu akamatwe alawitiwe achomwe kisu atekelezwe bila sababu za msingi,either akilewa ana tabia za kutukana watu hovyo au kuongea siri za watu.
 
Back
Top Bottom