Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wadogo tu hao watambe kwao. Ila dar hawawezi tambaKuna mmoja alikuwa anatembea na panga ni mgomvi na mchokozi haswa. Kuna siku akajichanganya kwa aliemzidi uhuni, alifuliwa bila sabuni na panga lake.
Ndio hivyo Babulai ubabe kisanga sometimes hapo ni kuwahishwa hospital kumcheck ameharibikiwa kiasi gani hayo mengine ya kuuliza baadae au sio arifuKuna mmoja alikuwa anatembea na panga ni mgomvi na mchokozi haswa. Kuna siku akajichanganya kwa aliemzidi uhuni, alifuliwa bila sabuni na panga lake.
HawaelewiWatoto wadogo tu hao watambe kwao. Ila dar hawawezi tamba
Hakuna anaejua paka sasaAmekufa au ni mzima.?
Ndio hivyo mkuu kiendacho kwa mganga hakirudi.Ndio hivyo Babulai ubabe kisanga sometimes hapo ni kuwahishwa hospital kumcheck ameharibikiwa kiasi gani hayo mengine ya kuuliza baadae au sio arifu
Well binadamu ni waovu lakini yapo matukio humpata mtu kwa sababu aliingia kwenye radar za watu.Binadamu wamekuwa waovu sana. Shetani asipokaa rada binadamu watampindua.
Ila huyu bado mtoto sana, 16yrs ni mdogo.sijui chanzo cha kisa ila tuogope wake za watu
Moja ya sheria ya kijinga sana. Unakufa unajiona, eti polisi waje wakupe sijui PF3!!?Hii sheria ya kusubiri police wakati mtu ana kufa inabidi iangaliwe pia
Mwana kulitafuta, mwana kulipata!Saa nane usiku alikua anatafuta nini
Aisee ni kweli,nimesoma sana vitabu vitakatifu,ila sijawai ona kifungu chochote kikionesha shetani akilawiti au akilawitiwa mimi nadhani kwa sasa shetani ni binadamu!!Binadamu wamekuwa waovu sana. Shetani asipokaa rada binadamu watampindua.