Kijana alawitiwa na kuchomwa kisu kisha kutupwa nje ya nyumba za watu maeneo ya Ubungo Msewe

Kijana alawitiwa na kuchomwa kisu kisha kutupwa nje ya nyumba za watu maeneo ya Ubungo Msewe

Angalia mwenyewe Arusha inavyoongoza

View attachment 3052583
Hizi takwimu zilitakiwa ziwe zinaconsider population density. Maana yake wasiweke idadi tu, bali waweke ration ya kila watu kadhaa mkoa fulani, idadi fulani walilawitiwa.., mkoa wenyewe watu milioni 6 halafu unalinganisha idadi ya hayo matukia na mkoa wenye watu lako 1 unategemea nini?
 
Ndiyo maana kuna wataalam wa Takwimu.

Wataalam wa Takwimu Kuna wakati wanatumia percentage, rate, ratio hata absolute numbers. Katika aina ya takwimu hizi ambazo huwezi kutumia rates, absolute numbers huonesha uzito. Kumbuka si kila mtu yupo 'at risk of' Mfano kifo, kila mtu yupo 'at risk' ya kufa 'at any time'.

Huwezi kusema kila mtu yupo 'at risk' ya kulawitiwa au kubakwa. Aidha kubakwa kwa mtu mmoja ni tatizo la pahala pale. Sema hizi takwimu zinatakiwa ziangaliwe kwa jicho la tatu maana si ajabu mikoa mingine, kuna ubakaji/ulawiti lakini waathirika hawajitokezi.
 
Back
Top Bottom