Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Ndio maana Mwenyezi Mungu alituwekea zile amri kumi ila atuepushe na yote haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haja ya kurekebisha Sheria ya kumiliki sirahaInasikitisha sana,apewe msaada wa matibabu haraka
Mkuu our life style sometime defines a lot about us....kuna matendo mengine vijana hufanya Kwa kujikuta wao ni wajanja Sana, so siku akiingia Kwenye anga za makalidayo....matokeo ndio haya.Kuongezeka kwa matukio ya ajabu kama haya katika jamii. Ni ishara ya failure ya judiciary system.
Inafika kipindi watu wanaona watafute haki kwa njia nyingine
Data hizi si za aliyekuwa RC, ni kabla ya tukio lakeMwanza na simiyu nadhani aliyesababisha kupanda Kwa chati mnamjua vilivyo
Data hizi si za aliyekuwa RC, ni kabla ya tukio lake
Unadhan hospital watampokea bila kibali cha polisi.Nafikiri mngemuwahisha hospital hao polisi wakute mmemfikisha mtu hospital.
Inawezekana mngemuwahisha hospital damu isingevuja zaidi na ingesaidia kwenye kupona kwake.
Weka simu chini chukueni bajaji mkimbizeni hospital
Si ndiyo kizaz cha sasa wao kulewa, kukata mauno wakicheza
Singeli komasava kufatilia udaku na umbea,mwisho ndiyo haya kapasuliwa rinda
Ova
Imagine mpaka daktari anaogopa kumtibu mgonjwa kama polisi hajasikia habari zake akabariki atibiwe, mpita njia je? Umembeba madaktari wanakataa kumpokea.Hii sheria ya kusubiri police wakati mtu ana kufa inabidi iangaliwe pia
Pwani ya kibaha auMlevi ndio
kalawitiwa ndio
kisu je?
kuna gen z ya kibongo ipo maeneo ya pwani vijana wadogo wamepotea vbaya mno yani hana ndoto hataki shule kazi hataki
wao ni kuvaa vbaya kusokota dred basii
na wana viwanake vyao Visungura tope kuvaa vijora na vikofia
Sijui tutakua na jamii gani 10 yrs mbele
sijui chanzo cha kisa ila tuogope wake za watu
Well binadamu ni waovu lakini yapo matukio humpata mtu kwa sababu aliingia kwenye radar za watu.
Haiwezekani from no where mtu akamatwe alawitiwe achomwe kisu atekelezwe bila sababu za msingi,either akilewa ana tabia za kutukana watu hovyo au kuongea siri za watu.
Kuongezeka kwa matukio ya ajabu kama haya katika jamii. Ni ishara ya failure ya judiciary system.
Inafika kipindi watu wanaona watafute haki kwa njia nyingine
Pwani ya bahari ya hindiPwani ya kibaha au
Na bado mkaendelea kumuangalia na kumpiga picha bila msaada 🚮🚮Hizi ni baadhi ya picha za kijana huyo akiwa mahututi lakini hakuna polisi aliyejitokeza hata baada ya kupigiwa simu.