Hizi takwimu zilitakiwa ziwe zinaconsider population density. Maana yake wasiweke idadi tu, bali waweke ration ya kila watu kadhaa mkoa fulani, idadi fulani walilawitiwa.., mkoa wenyewe watu milioni 6 halafu unalinganisha idadi ya hayo matukia na mkoa wenye watu lako 1 unategemea nini?