nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
mtaji wako sh ngap?Habari..
Mimi Ni kijana Ninafanya kazi Kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12.
Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi Kwa kijana anaweza Kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...
Hadi muda huu Nina laki 5 nilikuwa nafanya biashara ya Urembo sema Nimeshamtia mtoto wa watu ujauzito nimeongea matatizo Mengine.mtaji wako sh ngap?
Kichwa changu kina waza mengiwewe unatamani biashara gani?
Kutunza Pesa inawezekana Sana ...Ila Kuna mahali nimejichanganya mkuuTunza pesa
Tunza pesa
Tunza pesa
DarUko wapi?
Asante SanaAfungue account Meridian bet then aweke 5000 aanze kucheza online casino.
If you are not gambler, go and try hens' farm
Hutoboi huko utapoteza mudaKichwa changu kina waza mengi
_Saluni ya like au kiume
-Duka la Nguo Ila multi-purpose liwe na Nguo za kike na kiume na viatu na pouch za wadada Ila vyote Vya mtumba.
-Chakula mama chip's
-kununua bodaboda
Ndo mawazo yangu
DunianUko wapi?
Nahitaji sasa hizo za kutoboa Kaka Niko seriously kakaHutoboi huko utapoteza muda
Mama chips ni nn mkuu?Kichwa changu kina waza mengi
_Saluni ya like au kiume
-Duka la Nguo Ila multi-purpose liwe na Nguo za kike na kiume na viatu na pouch za wadada Ila vyote Vya mtumba.
-Chakula mama chip's
-kununua bodaboda
Ndo mawazo yangu
Umejichanganya wap??Kutunza Pesa inawezekana Sana ...Ila Kuna mahali nimejichanganya mkuu
Bangi na mirungi faster unatoboaNahitaji sasa hizo za kutoboa Kaka Niko seriously kaka
Nimemaanisha mama ntilie au Banda la chipsiMama chips ni nn mkuu?
Tatizo sio biashara inayolipa, muhimu kuliko yote ni jinsi ya kuendesha hiyo biashara. Wengi wameambiwa hilo unaloulizia (biashara gani ina faida kubwa), lakini walipoanza, haikuchukua muda, ikafa. Nakushauri, kwa kipindi hiki cha miezi sita, hudhuria mafunzo ya ujasiriamali ili upate skills za kuendesha biashara. Na utakapoanza hiyo biashara, anza na mtaji mdogo huku ukisoma mwenendo wa biashara, ukiona maendeleo mazuri, ndipo uongeze mtaji.Habari..
Mimi Ni kijana Ninafanya kazi Kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12.
Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi Kwa kijana anaweza Kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...