Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,014
Reaction score
1,903
Habari..

Mimi ni kijana ninafanya kazi kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12.

Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi kwa kijana anaweza kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...
 
Habari..

Mimi Ni kijana Ninafanya kazi Kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12.

Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi Kwa kijana anaweza Kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...
mtaji wako sh ngap?
 
wewe unatamani biashara gani?
Kichwa changu kina waza mengi

_Saluni ya like au kiume
-Duka la Nguo Ila multi-purpose liwe na Nguo za kike na kiume na viatu na pouch za wadada Ila vyote Vya mtumba.
-Chakula mama chip's
-kununua bodaboda

Ndo mawazo yangu
 
Mama chips ni nn mkuu?
 
Yaan umalize chuo Tu uwe tajiri??kwani ulikuwa unasomea kutengeneza pesa?? Yaan uje na degree yako ya unesi, procurement, language ( kuna MTU alisema ana degree ya kiarabu)....sijui degree ya fyoko fyoko utajili utauona na kuusikia nyumba ya jirani
 
Habari..

Mimi Ni kijana Ninafanya kazi Kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12.

Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi Kwa kijana anaweza Kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...
Tatizo sio biashara inayolipa, muhimu kuliko yote ni jinsi ya kuendesha hiyo biashara. Wengi wameambiwa hilo unaloulizia (biashara gani ina faida kubwa), lakini walipoanza, haikuchukua muda, ikafa. Nakushauri, kwa kipindi hiki cha miezi sita, hudhuria mafunzo ya ujasiriamali ili upate skills za kuendesha biashara. Na utakapoanza hiyo biashara, anza na mtaji mdogo huku ukisoma mwenendo wa biashara, ukiona maendeleo mazuri, ndipo uongeze mtaji.
 
Anaweza kujilipua,

kuwa jambazi, Madawa ya kulevya uza,
kuuza tako, uchawi kwa wakinga ile kuku anakula punje., uchawi wa kutesa na kuua ndugu zako. YOTE HAYO UTAFAIDIK. Ila nakushauri fanya kazi hakali upate pesa.
 
Back
Top Bottom