Ulishawahi kuwepo?Mkuu acha kudanganya, mwenye mkono mrefu na connection nzuri ndiye anayepata nafasi Kama huna utaishia kujitolea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule hawajui mtoto wa kigogo au wa nani, kuna CDF simtaji. Mwanae alikuwepo huko mafunzoni, waliwahi kimburuza. Hawakujali ni mtoto wa naniKwa hio watoto wa vigogo wao hua mambo ya kujitolea ni hobby yao na sio kusaka ajira pande zile sio mkuu?
Kwenye mafunzo wote mnanyooshwa kwa rula moja lakini kwenye usaili rula inaletwa nyingine. Yap bahati inakuwepo, maana sometimes usaili wa kule mnapewa vikaratasi vya kutest zali. Ila watoto wa ma RPC, RPO, RSO, colonel hawaachwi . Vimemo na simu zinatembea sana siku moja kabla ya usaili.Kule hawajui mtoto wa kigogo au wa nani, kuna CDF simtaji. Mwanae alikuwepo huko mafunzoni, waliwahi kimburuza. Hawakujali ni mtoto wa nani
Hao wanazingua. Siku hizi mpaka ma inspector wakivua sare wanachangia mada za kuisema serikali inapokoseaWananiachaga hoi mkiwa kijiweni ikayokea mnaisema vibaya serikali eti wao hua hawachangii mixer kujifanya bize na simu mwisho wa siku wanaondoka kijiweni. Sijui huwa wanapewa viapo gani huko
Kwahiyo wanatazama tv na kusikiliza radio kila anapohutubia mzee baba?Wa vyuo vikuu nawaonea zaidi huruma, hawajishughulishi na chchte wanasubiria tamko la mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ishu hapo ilikiwa mind set ya mhusika.Sasa unaamini wote watakutana na bahati huku intake moja inatema vijana mtaani around 8 thousands?
Kule hawajui mtoto wa kigogo au wa nani, kuna CDF simtaji. Mwanae alikuwepo huko mafunzoni, waliwahi kimburuza. Hawakujali ni mtoto wa nani
Wanadanganyana sana, wanatembelea sana ile site ya tamisemi vibaya mno.Kwahiyo wanatazama tv na kusikiliza radio kila anapohutubia mzee baba?
Maisha popote , ukiwa na mashamba kilimo kinalipa sana...Jkt acheni tu tuliopita huko kipindi cha nyuma hapo 835 mgambo jkt nadhani wanakumbuka mateso na ndoto tulizokuwa nazo ila baada ya mkataba kuisha Kila kitu kikaisha hapo ilinichukua zaidi ya mwaka kurejea kwenye Hali ya uraia kawaida kwa Sasa namshukuru mungu na Wala sitaki kazi ya jesh
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo most of graduate mnawasingizia kuwa hawajiongezi sio kweli. Kundi ambalo kidogo huwa na stress ni la walimu kidogo. Ila wengine wengi wako smart huwezi linganisha na hao JKT. sema unataka hamisha magoli kuwasema vijana walotoka skuli. The try their level best katika kujikwamua tena sana. Utawakuta maofisi mbalimbali as interns nk.Achilia mbali wa jkt kuna hawa graduates waliotapakaa mitaani bila ajira nao wana stress balaa. Sijui siku haya mabomu yakianza kulipuka nani wa kuyategua!!!!
Kwa kina kanole,nyanza k nyanza,mbughe....Jkt acheni tu tuliopita huko kipindi cha nyuma hapo 835 mgambo jkt nadhani wanakumbuka mateso na ndoto tulizokuwa nazo ila baada ya mkataba kuisha Kila kitu kikaisha hapo ilinichukua zaidi ya mwaka kurejea kwenye Hali ya uraia kawaida kwa Sasa namshukuru mungu na Wala sitaki kazi ya jesh
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajitahidi sana universities & colleges graduate ila hiki kipindi kwao ni kigumu sana.Acha uongo most of graduate mnawasingizia kuwa hawajiongezi sio kweli. Kundi ambalo kidogo huwa na stress ni la walimu kidogo. Ila wengine wengi wako smart huwezi linganisha na hao JKT. sema unataka hamisha magoli kuwasema vijana walotoka skuli. The try their level best katika kujikwamua tena sana. Utawakuta maofisi mbalimbali as interns nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa kwamba hakuna waliojiongeza ila walio wengi wapo wapo tu hawana hili wala lile kucha kutwa kuzunguka na vibahasha vya kaki maofisini kutafuta kazi na kazi zenyewe hakuna. Ukitaka kuthibitisha hili tangaza nafasi za kazi uone lundo la graduates watakaojitokezaAcha uongo most of graduate mnawasingizia kuwa hawajiongezi sio kweli. Kundi ambalo kidogo huwa na stress ni la walimu kidogo. Ila wengine wengi wako smart huwezi linganisha na hao JKT. sema unataka hamisha magoli kuwasema vijana walotoka skuli. The try their level best katika kujikwamua tena sana. Utawakuta maofisi mbalimbali as interns nk.
Sent using Jamii Forums mobile app