Kijana aliyemaliza JKT na kurudi nyumbani akili yake inakuwa kama mtu anayehangaika na kutafuta Rupia ya Mkoloni

Kwa hio watoto wa vigogo wao hua mambo ya kujitolea ni hobby yao na sio kusaka ajira pande zile sio mkuu?
Kule hawajui mtoto wa kigogo au wa nani, kuna CDF simtaji. Mwanae alikuwepo huko mafunzoni, waliwahi kimburuza. Hawakujali ni mtoto wa nani
 
Kwenye mafunzo wote mnanyooshwa kwa rula moja lakini kwenye usaili rula inaletwa nyingine. Yap bahati inakuwepo, maana sometimes usaili wa kule mnapewa vikaratasi vya kutest zali. Ila watoto wa ma RPC, RPO, RSO, colonel hawaachwi . Vimemo na simu zinatembea sana siku moja kabla ya usaili.
Nimepiga jakata na nina hakika na ninayoyazungumza.
Nimeshuhudia kule mtu ananyang'anywa coy no. siku ya usaili.
 
Wananiachaga hoi mkiwa kijiweni ikayokea mnaisema vibaya serikali eti wao hua hawachangii mixer kujifanya bize na simu mwisho wa siku wanaondoka kijiweni. Sijui huwa wanapewa viapo gani huko
Hao wanazingua. Siku hizi mpaka ma inspector wakivua sare wanachangia mada za kuisema serikali inapokosea
 
Sasa unaamini wote watakutana na bahati huku intake moja inatema vijana mtaani around 8 thousands?
ishu hapo ilikiwa mind set ya mhusika.

hata wao jkt huwa wanaambia wahitimu wao kwamba hatujakuleta huku uajiriwe,bali kukufunza kujitegemea.

mkataba wetu wa mafunzo na wewe ni miaka 2,ukiisha wasalimie,hatulazimishwi kukuajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana mmesahau kuna elimu ipo VETA.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jkt acheni tu tuliopita huko kipindi cha nyuma hapo 835 mgambo jkt nadhani wanakumbuka mateso na ndoto tulizokuwa nazo ila baada ya mkataba kuisha Kila kitu kikaisha hapo ilinichukua zaidi ya mwaka kurejea kwenye Hali ya uraia kawaida kwa Sasa namshukuru mungu na Wala sitaki kazi ya jesh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achilia mbali wa jkt kuna hawa graduates waliotapakaa mitaani bila ajira nao wana stress balaa. Sijui siku haya mabomu yakianza kulipuka nani wa kuyategua!!!!
 
Maisha popote , ukiwa na mashamba kilimo kinalipa sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achilia mbali wa jkt kuna hawa graduates waliotapakaa mitaani bila ajira nao wana stress balaa. Sijui siku haya mabomu yakianza kulipuka nani wa kuyategua!!!!
Acha uongo most of graduate mnawasingizia kuwa hawajiongezi sio kweli. Kundi ambalo kidogo huwa na stress ni la walimu kidogo. Ila wengine wengi wako smart huwezi linganisha na hao JKT. sema unataka hamisha magoli kuwasema vijana walotoka skuli. The try their level best katika kujikwamua tena sana. Utawakuta maofisi mbalimbali as interns nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jkt acheni tu tuliopita huko kipindi cha nyuma hapo 835 mgambo jkt nadhani wanakumbuka mateso na ndoto tulizokuwa nazo ila baada ya mkataba kuisha Kila kitu kikaisha hapo ilinichukua zaidi ya mwaka kurejea kwenye Hali ya uraia kawaida kwa Sasa namshukuru mungu na Wala sitaki kazi ya jesh

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kina kanole,nyanza k nyanza,mbughe....

Mkuu inaonekana shule ipo kichwani ,Mungu awatangulie vijana...
 
Acha uongo most of graduate mnawasingizia kuwa hawajiongezi sio kweli. Kundi ambalo kidogo huwa na stress ni la walimu kidogo. Ila wengine wengi wako smart huwezi linganisha na hao JKT. sema unataka hamisha magoli kuwasema vijana walotoka skuli. The try their level best katika kujikwamua tena sana. Utawakuta maofisi mbalimbali as interns nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajitahidi sana universities & colleges graduate ila hiki kipindi kwao ni kigumu sana.
Sema hawa vijana wa jkt ndio ngumu kukubali matokeo, bado wana the same dream
 
Acha uongo most of graduate mnawasingizia kuwa hawajiongezi sio kweli. Kundi ambalo kidogo huwa na stress ni la walimu kidogo. Ila wengine wengi wako smart huwezi linganisha na hao JKT. sema unataka hamisha magoli kuwasema vijana walotoka skuli. The try their level best katika kujikwamua tena sana. Utawakuta maofisi mbalimbali as interns nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa kwamba hakuna waliojiongeza ila walio wengi wapo wapo tu hawana hili wala lile kucha kutwa kuzunguka na vibahasha vya kaki maofisini kutafuta kazi na kazi zenyewe hakuna. Ukitaka kuthibitisha hili tangaza nafasi za kazi uone lundo la graduates watakaojitokeza
 
Back
Top Bottom