TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Innalillah wainna illayhi rajiun
Zimethibitishwa lakini?
 
Huu uzi umenifanya nijue watu wengi ni wajuzi juzi huku JF. Yaani hili tukio kumbe kuna watu hawakulijua. Ila halikuwa kofi wala kibao ni jamaa alimdokoa kidogo tu mzee mwinyi, kama vile tumbili [emoji626]

RIP Bro
Katika kumshtua ili asiendelee na kile kipengele, ila Mzee Mwinyi alitoa macho!?[emoji23]
 
Sayansi ya usiku noma aisee

nasikia alipokua Tabora Boy's aliwahi kumpiga mateke Second Master alipokuja kukagua wanafunzi waliojificha msikitini hawaendi class.

Sababu ya kumpiga mateke ni kumzuia mwalim ambae ni kafiri asikanyage ndani ya msikiti ataweka najisi.

pia nasikia alimalizaga topic zote za Advance akiwa form five hivo akawa anaishi msikitini tu. Akapigwa suspension akarudi kwao mpaka NECTA.
 
Hakua n dalili alikua anaishi msikitini pale shule alikua mcheshi sn

nasikia alipokua Tabora Boy's aliwahi kumpiga mateke Second Master alipokuja kukagua wanafunzi waliojificha msikitini hawaendi class.

Sababu ya kumpiga mateke ni kumzuia mwalim ambae ni kafiri asikanyage ndani ya msikiti ataweka najisi.

pia nasikia alimalizaga topic zote za Advance akiwa form five hivo akawa anaishi msikitini tu. Akapigwa suspension akarudi kwao
mpaka NECTA.

hivi ndio kamaliza darasa moja na kina Halord Madeha
Mgeni Makambi
Nila Jackson
Hansbert Kishamba
Paul Kipeja
Yaqubu
Deus Opiyo
 
Hapana mkuu labda umesahau kidogo nimesoma naye darasa moja PCM Tabora Boys!

nasikia alipokua Tabora Boy's aliwahi kumpiga mateke Second Master alipokuja kukagua wanafunzi waliojificha msikitini hawaendi class.

Sababu ya kumpiga mateke ni kumzuia mwalim ambae ni kafiri asikanyage ndani ya msikiti ataweka najisi.

pia nasikia alimalizaga topic zote za Advance akiwa form five hivo akawa anaishi msikitini tu. Akapigwa suspension akarudi kwao mpaka NECTA.

hivi ndio kamaliza darasa moja na kina Halord Madeha
Mgeni Makambi
Nila Jackson
Hansbert Kishamba
Paul Kipeja
Deus Opiyo
 
Duuh hii siikuisikia
Alikuwa na itikadi kali hata msikitini hapa Mabibo alikuwa akicharaza bakora wanawake wanaochota maji

Ila dish lilishaanza kulegea
 
Yeah uko sahihi kabisa mmmmh ulikuwa "woso" wewe bila shaka!!!
 
Jifunze kuwa na heshima kwa watu wakubwa.
Unamuita Muhammad. Kama unaitwa mtoto wako?
Acha dharau.muhammad na yesu hawana tofauti wapo daraja moja.
NI MITUME WA MWENYEEZI MUNGU
Watakua wamemsomea albadiri afe hili wapate sawabu kwa muddy......
 
Jifunze kuwa na heshima kwa watu wakubwa.
Unamuita Muhammad. Kama unaitwa mtoto wako?
Acha dharau.muhammad na yesu hawana tofauti wapo daraja moja.
NI MITUME WA MWENYEEZI MUNGU
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…