TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Ila kile kibao kilimpata mzee barabara, maana kam si utu uzima mzee angeruka ile meza na kuanzisha varangati..

Ilikuwa ni fedheha kubwa saba kwa mzee kwa kweli...
 
Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys

Baada ya hapo matatizo yakaanza
Poleni sana.
Dogo namfahamu sana,tangu anasoma hapo Umoja mpaka alipojiunga na IIboru zama hizo mimi nipo Technical college Arusha alikuwa baadhi ya weekend akija town hupitia College kunipa hi.
Kwa town tulikuwa tunaishi jirani bondeni kule karibu na kwa kidevu.
 
itakuwa tupo majirani mkuu. .....
 
itakuwa tupo majirani mkuu. .....
Mi ndio maskani kwangu huko ingawa kwa sasa nipo nje ya Dar kdg.
Kijiwe changu cha kupandia bodaboda ilikuwa hapo juu msikitini kwenye kibanda cha muuza matunda wa kuitwa Swahiba.
 
Mi ndio maskani kwangu huko ingawa kwa sasa nipo nje ya Dar kdg.
Kijiwe changu cha kupandia bodaboda ilikuwa hapo juu msikitini kwenye kibanda cha muuza matunda wa kuitwa Swahiba.
Sawa mkuu
Mii nilishama mkoa ila wiki hii nipo likizo Mabibo msikitini hapa
 
Waungwana

Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii

Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu

Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Hili ni darasa kwa wajinga na watu wanatumika kuharibu taifa Lao. Adhabu ni kali sana sana. Ninapo ona mtu anaandika au kutukana namuonea huruma sana.
 
Alikiwa kichwa ila mwisho wa siku akawa chizi
Maisha haya .......
Ukifanikiwa kumpiga Rais utakuwa maiti Kabla yakuwa maiti hii sio kwa amri ya Rais ila amri kutoka juu.
Mtu mmoja alimuuwa mfalme na alipo mmpa taarifa adui wa. Mfalme na yeye akamuuwa akasema aliwezaje kuwa jasiri kumuuwa mfalme.
 
Back
Top Bottom